Mwalimu Lwaitama: Kesi ya Mbowe: " Rais Samia anayo Mamlaka ya kuifuta"

Mawazo ya kipuuzi Sana haya
 


 
Huyu mama anakiburi ninyi danganyikeni tu na tabasamu lake. Hasikii wala haambiliki.
Lakini watu si wanasema Mama hana nguvu ila kuna watu ndio wanaongoza au hayo ni maneno ya vijiweni?
 
Lwaitama alipostafu pale UDSM ALICHUKUA MAFAO YAKE YOTE

AKAOA MALAYA SIKU HIZI ANATEGEMEA CHADEMA ILI ALE

AMECHOKA KIASI KWAMBA HATA UBONGO WAKE ULISAHAU HAKI

ANAONGEAGA CHOCHOTE TU

WAHAYA SIO WAJINGA NI YEYE TU ANAYEWASHABIKIA WATU WA WAKAZI KAZINI

KINACHOMTESA NI MAFAO YAKE KUTUMIKA VIBAYA
 
Lwaitama is rigid has no idea

Ni mjinga tu MSOMI KAMA HUYO UNAZEEKA HALAFU UNAANZA SIASA

UKIWA KIJANA NDIO FANYA HIVYO

UKIMSIKILIZA LWAITAMA UTAKUWA HUNA AKILI
 
Lakini watu si wanasema Mama hana nguvu ila kuna watu ndio wanaongoza au hayo ni maneno ya vijiweni?

Ndiyo kukosa nguvu kwenyewe huko.



Nyuma ya usukani sasa ni rasmi, urais siyo mtu. Urais ni taasisi 😁😁.

Hii ni kwa mujibu wa ibara ipi ya katiba? Wajumbe wa taasisi hii hawajulikani? Kampeni zao wanaendeshea wapi?

Msamiati mpya huo tokea awamu ya 5.
 
Lwaitama is rigid has no idea

Ni mjinga tu MSOMI KAMA HUYO UNAZEEKA HALAFU UNAANZA SIASA

UKIWA KIJANA NDIO FANYA HIVYO

UKIMSIKILIZA LWAITAMA UTAKUWA HUNA AKILI

Sawa unasomeka vyema mkuu 😁😁:

 
Angeanza na kwaomba Raid aifute kesi ya Ole Sabaya kwanza. Mama hawezi kuwa na double standard. Subirini naye ale mvua za kutosha!
 
Mahakama zipi unazoziongelea?mahakama ni mfumo,sio majengo na mahakimu pekee!Mdudu alifungwa na mahakama ipi!?na akafutiwa mashitaka na mahakama ipi?bongo Kuna policcm,mahakama za ccm,Takukuru ya ccm,kesi zinazoamuliwa kwa haki ni kesi za kuku tu
 
Angeanza na kwaomba Raid aifute kesi ya Ole Sabaya kwanza. Mama hawezi kuwa na double standard. Subirini naye ale mvua za kutosha!

Clear Standard ni ipi kwani?

Kuwa na mhimili mrefu kuliko mingine?
Kuwa na kesi za kubambikiziana? Au kuwa na hukumu za kutengenezeana?



Kwani kwenye shithole countries lini ni kwa mujibu wa katiba na lini si kwa mujibu wa katiba?
 
Au ulimaanisha the unknown Dr. Mathanzua 😁😁?

Hiiiiii bagosha!
Wala sihitaji kujulikana,impact yangu ndiyo muhimu.Ndiyo maana nipo JF ili niweze-share na wengine what I know.Humanity has been cheated for too long.
 
Sijalewa kama umeelewa nimeandika nini na sijaewlewa umeandika nini. Bila shaka utajiita akili kubwa mimi akili ndogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…