Mwalimu Lwaitama: Kesi ya Mbowe: " Rais Samia anayo Mamlaka ya kuifuta"

Kwa maandishi haya najiridhisha kuwa wewe ni murundi.
 
Wakati anaohojiwa na media moja alisema kuna wenzake Mbowe walishafungwa.

Ina maana yupo well inform siyo?
 
Watakwambia alitoa sh 600000.
 
Very easy ebu tazama sakata la machinga ndiyo mtajua kuwa nchi hii rais wa nchi ndiyo Alpha na Omega.
 
Kwani hiyo mahakama ndiyo ilimshitaki au mhimili wa Serikali? Bila shaka aliyekushitaki anao uwezo wa kuifuta hapo mahakama haijaingiliwa

Huyo bwana hapa akikuelewa kwa maneno maneno tu kuliko huyu:



Ka mrejesho katapendeza zaidi.
 

Fala Wewe
 
Huyo ni mtanzania kutoka jimbo la Ndugayi pale kibaigwa
 
Kesi ya kubumba Lwaitama bhana...😁😆😂🤣

Mimi nilikuwa nimezowea kusema Kesi ya kubambika.
 
Watu wawili tofauti:Samia Suluhu Hassani ni Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama tawala,CCM.Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama cha upinzani Chadema.Kama Raisi wa nchi Samia Suluhu Hassan anategemea zaidi Baraza lake la mawaziri na washauri mbalimbali katika utendaji wake.Kwa mantiki hiyo misimamo yake na hatua anazochukua kwa kiwango kikubwa vinategemea washauri wake wa karibu na ikiwa hivyo ndivyo ina maana kwa kesi ya Mbowe kuna kitu ameshibishwa akashiba.Kama ni kweli au uongo hiyo itakuwa habari ya baadae.Kwa Samia huyu napenda tukumbushane kifo cha Princess Diana.Wakati wa mazishi yake watoto wake wawili wakiwa bado wdogo hawakuonyesha kulia hadharani kama ilivyotegemewa na nilbahatika kumuuliza mzungu mmoja alinijibu ya kuwa "wanategemewa kuwa wafalme na wanafundishwa kuto ku break hadharani".Samia Suluhu Hassani ni lazima amefundishwa Urais na makandokando yake na kuwa wakati mwingine huruma inaweza kuingiza nchi kwenye matatizo.
Mbowe kama mpinzani anapata anachostahili nacho ni kuwa mpinzani kwa watu wasiotaka upinzani (angeunga mkono kama Slaa,Mashinji,Waitara.....)asikumbana na haya.
Tuiache asili ichukue mkondo wake (let naturetake its own course).Yatapita!!
 
Hongera bi.mdogo yaonesha ni ktk wale waliompiga mzee mafao yake una dhambi kwel ww
 
Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Nikumbushe yafuatayo;
1) Kupiga marufuku mikutano ya hadhara ni kuvunja sheria ya vyama vya siasa unayotaka vyama kutangaza sera zake na katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kujiekeza.
2) Mbinu zilizotumika kuwaachia masheikh wa uamsho ama wale viongozi wa CHADEMA waliofungwa na Nusrat kabla ya kupewa ubunge zinaweza kutumika hizohizo.
3) Rais alipoliagiza jeshi la polisi kuzifuta kesi za kugushi bila shaka alielewa sheria ipi angetumia kuwawezesha polisi kufanya hivyo. Bahati yeye mwenyewe alisema TISS walifuta kesi 147. Atumie sheria hiyohiyo kumfutia kesi Mbowe.
TUSIWE NA DOUBLE STANDARDS TUNAIGAWA NCHI.
 

Ungesema ile parallel power pale nyuma ya usukani ndiyo tatizo:



Ungeeleweka vyema.

Wanajiita taasisi ya urais. Iko ibara gani ya katiba, composition vyote haijulikani.

Yahaya unaishi wapi? Au nakazia yako Kinondoni?
 
Akiifuta mtarudi mseme ...ameogopa nguvu ya umma ...anaingilia mamlakaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…