joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Acha tu mkuu. Unajua kuna mawakili wazuri sana na siyo wale wanaouliza ujinga ujinga ambao hata hausaidii mwisho wa siku.Niliwaambia hili, wanauliza maswali hayana maana kabisa[emoji16]wakasema mimi sina ilimu, nikawambia sawa na LY yangu lakini nimegundua hawa mawakili wanapiteza mda bure tu,,
Sasa Lwaitama anataka Rais afute kesi,, is he mad?,
Rais sio judge[emoji23][emoji23]
Mfano ishu ya kuteswa(torture) ilibidi waulize maswali ambayo yangethibitisha na kudhihirisha kuteswa kwa Adamoo.
Haya mbali na hiyo katika kesi ndogo ile Mawakili wa mshitakiwa namba mbili walipotezea kufanya mahojiano kinzani( Cross examination) mshahidi wa jamuhuri. Kitu ambacho kisheria kina madhara makubwa sana. "Failure to ask questions during cross examination it means you have accepted what the witness said"
Haya mke wa Adamoo wanamleta anakuja kutoa ushahidi wa kuvunjwa kwa nyumba yao utafikiri pale kulikuwa na kesi ya kuvunja na kuiba. Utafikiri wao ndiyo mawakili wa Jamhuri so wanajaribu kuthibitisha kosa la kuvunja ns kuiba.
Watu wengi waliokuwa wanashabikia kuwa Mawakili wa upande wa utetezi wanaupiga mwingi ni kwa sababu hawajui sheria na taratibu za kufanya mahojiano kinzani(cross examination) wakati wa kutoa ushahidi.
Pengo la Senior Tundu Lissu limejidhihirisha kwa kukosekana katika lile jopo la mawakili wa upande wa utetezi. Angekuwepo hakika tusingefika huko.