Mwalimu Lwaitama: Kesi ya Mbowe: " Rais Samia anayo Mamlaka ya kuifuta"

Mwalimu Lwaitama: Kesi ya Mbowe: " Rais Samia anayo Mamlaka ya kuifuta"

Niliwaambia hili, wanauliza maswali hayana maana kabisa[emoji16]wakasema mimi sina ilimu, nikawambia sawa na LY yangu lakini nimegundua hawa mawakili wanapiteza mda bure tu,,
Sasa Lwaitama anataka Rais afute kesi,, is he mad?,
Rais sio judge[emoji23][emoji23]
Acha tu mkuu. Unajua kuna mawakili wazuri sana na siyo wale wanaouliza ujinga ujinga ambao hata hausaidii mwisho wa siku.

Mfano ishu ya kuteswa(torture) ilibidi waulize maswali ambayo yangethibitisha na kudhihirisha kuteswa kwa Adamoo.

Haya mbali na hiyo katika kesi ndogo ile Mawakili wa mshitakiwa namba mbili walipotezea kufanya mahojiano kinzani( Cross examination) mshahidi wa jamuhuri. Kitu ambacho kisheria kina madhara makubwa sana. "Failure to ask questions during cross examination it means you have accepted what the witness said"

Haya mke wa Adamoo wanamleta anakuja kutoa ushahidi wa kuvunjwa kwa nyumba yao utafikiri pale kulikuwa na kesi ya kuvunja na kuiba. Utafikiri wao ndiyo mawakili wa Jamhuri so wanajaribu kuthibitisha kosa la kuvunja ns kuiba.

Watu wengi waliokuwa wanashabikia kuwa Mawakili wa upande wa utetezi wanaupiga mwingi ni kwa sababu hawajui sheria na taratibu za kufanya mahojiano kinzani(cross examination) wakati wa kutoa ushahidi.

Pengo la Senior Tundu Lissu limejidhihirisha kwa kukosekana katika lile jopo la mawakili wa upande wa utetezi. Angekuwepo hakika tusingefika huko.
 
Hawezi kufuta kesi inayo endelea mahakamni. Anaye weza kuifuta ni DPP.
Lakini chakushangaza kesi ya mbowe ushahidi umechukuwa kama miaka miwili kukamilika. leo kuna watu ndani zaidi ya miaka sita upelezi haujakamilika. Kuna walokamatwa kwa ugaidi mapaka leo ni miaka 8.
Mbowe kapata unafuu na kesi yake kwenda haraka. Hii ni njia moja kumtowa ,kwani kama mawakili wazuri basi atatoka tuu. nakama atashtakiwa anayo haki ya kukata Rufaa.

Kwa hivyo tusubirini.
Kwa namna wanavyoendesha ile kesi ni ngumu kuchomoka mkuu. Wale Mawakili wao wajuaji sana na wanaringa. Hawataki ushauri ndiyo maana hata kwenye kesi ndogo wameangukia pua. Angekuwepo Tundu Lissu ningekuwa na asilimia kubwa sana za kumchomoa Mbowe.
 
Kesi ya Mbowe ni tuhuma nzito nashangaa wanasema ifutwe, Kama Mbowe hajatenda kosa mahakama itamsafisha vinginevyo mtawapa sababu watu wengine kumtuhumu bila sababu. Nafikiri mashinikizo yawekwe hii kesi imalizwe haraka
 
Kumtoa Mbowe sidhani kama itakuwa ni kitu laisi sana, matokeo ya hukumu ya jaji Mustapha na sintofahamu nyingi kama jaji kupandishwa cheo ktk ya kesi ni dalili kuwa Serikali imekusudia kumfunga Mbowe kwa namna yoyote ile
Mbowe alitafutwa kwa muda mrefu Sana na Sasa wanafikiri wamempata kwani tokea Mbowe achukue uwongozi wa chadema, chadema imeimalika sana na kuwakosesha usingizi watawala
Lakini kama wanafikiri kumfunga Mbowe kutadhoofisha Chadema basi watakuwa wanajidanganya sana
Chadema kwa sasahivi lazima wajiandae kwa matokeo yoyote Yale ya kesi hii na LA muhimu kabisa ni kuwa na mikakati ya kufanya chadema kuwa na nguvu zaidi hata bila Mbowe ili watesi wenu waje kujilaumu kwa maujinga walioufanya
 
First of all, why should be dismissed while there are serious allegations against Freeman Mbowe?

Second of all, Samia has no such a power.

Lastly, time will tell but according to the trial within trial conducted by the Court, I hope that Mr. FREEMAN MBOWE will be convicted & sentenced for what he did. MEANING: He will get what he deserves.
What did he do? They the trial is proceeding there is no crime.The accusation is ichoate per se.Corroboration of evidence is very difficult to establish.
 
Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.

Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.

Mlikuwa mnamlaumu JIWE kuwa alikuwa anaingilia uhuru wa mihimili mingine na leo Mama Samia haiingilii mnalalamika kuwa kwanini haingilii mahakama kumnusuru Mbowe!!! Acheni sheria ichukue mkondo wake, kama washitakiwa hawana hatia kutokana na ushahidi basiwataachiwa na kama ushahidi utajitosheleza wataadhibiwa!!!
 
Ile imewekwa maalum kwamba
Mkimshikia chini Sabaya afungwe
Na Mboye naye aende
 
First of all, why should be dismissed while there are serious allegations against Freeman Mbowe?

Second of all, Samia has no such a power.

Lastly, time will tell but according to the trial within trial conducted by the Court, I hope that Mr. FREEMAN MBOWE will be convicted & sentenced for what he did. MEANING: He will get what he deserves.

You are a buffoon!! Nobody has ever been convicted over allegations! Only “proof beyond reasonable doubt” convicts a defendant!! Only fools see logic in half cooked facts. This trial has not even concluded and you are already calling it!

An optimist you are. However, better you prepare yourself for a heartbreak, too. The world is eager to see proof of the allegations, if they are proven - he must serve time. If not, should be let free. We have no history or reparations - so tye government stands to chance to lose anything.
 
Back
Top Bottom