DOKEZO Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Daniel Ole Njoolay, amewafukuza wanafunzi Kidato cha 4 kwa kutotoa Tsh 70,000 ya kambi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,524
Reaction score
4,477
Mwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.

Kwani huu utaratibu wa kambi ni upigaji mpya ulioanzishwa na wakuu wa shule wakishirikiana na viongozi wa wilaya.

Tunakuonya na huu uwe ni ujumbe kwa walimu wote nchini: Acheni mara moja tabia hiyo, kwani Tsh 70,000 kila mwezi ni hela kubwa mno kwa wazazi.

Hawawezi, na mtaongeza idadi kubwa ya watoto wa mitaani.
 
Hiyo 70K inakuwa included na Chakula if yes lipia haraka mtoto apate kuandaliwa vizuri.
 
Boss nijuavyo mimi wazazi huwa wanaitwa na kushirikishwa kwenye mambo kama haya na sometimes wanapewa Uhuru wa kupanga wenyewe kiasi watakachokimudu. Labda kama wazazi hawakujulishwa hapo ndo changamoto, na huwa inasaidia mimi kijana wangu hii ilimsaidia sana

Hakika japo kwa sasa uchumi wa wazazi unaweza usiwe imara

Ila ikiwa hatashindwa kutoa 70K watengeneze mfumo wa kuchangiana yaani waweke target kuwa Kama watoto wapo 100 basi at least watoto wenye nafuu za maisha ambao hawatopungua 60 wali pie then wale 40 ambao familia zao hazijiwezi wawekewe mfumo wa Credit wasome kwa kudaiwa

Ila wakisema hizo kambi ni za wale watakaotoa hela cash tu basi itapelekea kuwanyima fursa wengine.
 
Ole njolay, huyu mwamba yupo

Alikuwaga rc

Ova
 
Mambo yanarudi kwa kasi sana , nami mdogo wangu mmoja anaenda shule ghafla anasema wameambiwa waende na 65,000 ya uendeshaji na 40,000 ya stationary

Hii ndio kusema kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake? Wa mtaani wale wapi?
 
Mwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.
Tuanze na Daniel Njollay mwenyewe anasemaje? Huenda ndiye amemtuma huyo Mwalimu atekeleze hizo adhabu
 
Mwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.

Kwani huu utaratibu wa kambi ni upigaji mpya ulioanzishwa na wakuu wa shule wakishirikiana na viongozi wa wilaya.

Tunakuonya na huu uwe ni ujumbe kwa walimu wote nchini: Acheni mara moja tabia hiyo, kwani Tsh 70,000 kila mwezi ni hela kubwa mno kwa wazazi.

Hawawezi, na mtaongeza idadi kubwa ya watoto wa mitaani.
Toeni hela acheni kulalamika. Fanyeni kazi sio kuzaa tu mnashindwa kulipia watoto elfu 70 tu.
 
Kambi ni upigaji mpya ina maaana walimu wanashindwa kufaulisha wanafunzi mpk wakaweke kambi wkt shule usajiri wake ni day
 
Back
Top Bottom