DOKEZO Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Daniel Ole Njoolay, amewafukuza wanafunzi Kidato cha 4 kwa kutotoa Tsh 70,000 ya kambi

DOKEZO Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Daniel Ole Njoolay, amewafukuza wanafunzi Kidato cha 4 kwa kutotoa Tsh 70,000 ya kambi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
No wajinu wa walimu kufundisha sababu wanalipwa kama hizo program ni muhimu waiambie serikali izipitie na kuziingeza kwenye mfumo. Sio kutuletea chochote wanachotaKa.

Mimi Toka Shule ya MSINGI mpaka namaliza masters sajawai kufeli na hayoakozi sijawahi hudhuria
Kumbe unakamasters tu..Je,kwenye darasa lako wote mlikua mnafanya vizuri? Kumbuka kupanga ni kuchagua kama unaona mtoto wako inabidi asisome na kufauru basi asiende shule. Elimu ya leo sio rahisi kama yazamani ya kukalili basi
 
Eti ya Leo ni ngumu kuliko ya zamani wacha neno hiyo, mnapenda upigajinhamtosheki na mishahara yenu Shule yetu ya boys HAIKUWA na walimu na tulisoma kibabe nankutokanna one tamu alafu unasema zamani ilikiwa rahisi kifaulu babu zako wangapi wamesoma kama hata elimu ya kawaida ya nyerere

ETI TUNAKARIRI NJOO UONE NAITIMIA EQUILIBRIUM KWENYE KAZI ZANGU KILA SIKU
 
Ndiyo maana nimekwambia ilikua ya kukarii
Angalia kwanza ulichokiandika makosa kibao
wacha neno hiyo
upigajinhamtosheki
HIKUWA na walimu
nankutokana
kifaulu
Sasa kuna umuhim wa kuendeleza mjadala kweli?
 
Ndiyo maana nimekwambia ilikua ya kukarii
Angalia kwanza ulichokiandika makosa kibao
wacha neno hiyo
upigajinhamtosheki
HIKUWA na walimu
nankutokana
kifaulu
Sasa kuna umuhim wa kuendeleza mjadala kweli?
Wewe ni MJINGA kwani unadhani typo hazikosekani kwenye simu. Huwa sijali sana na nafikiri ujumbe umefika mbona wewe umebugi hapo kwenye redi, anayesoma mwenyewe na kufaulu na anayefundishwa uoga nani Bora.

Mnalipwa fundisheni kwa bidii ndani ya muda ULIOPANGWA acheni ulevi na kukimbia vipindi alafu mnakuja na programu za uongo na kweli.

Nashangaa sikuhizi mtoto ANAENDA Shule saa 11 kufanya nini wakati nasoma muda huo ulikuwa wa kuogaga baada ya zoezi na kunywa uji.

Alafu bado muda huo mnasema hauyoshi mkaongexa watoto wanatoka SAA1 Shule utagikiri walikuwa kazini.

Mimi nataka kazini badala nimkute mtoto nyumbani nakuta na yeye eti ANAENDA kuoga katoka Shule nani baba Sasa.
 
Sina tatizo na michango kama ni utaratibu waliojiwekea Wazazi wa shule husika. Tatizo langu ni kuhusu adhabu kwa watoto. Makubaliano ya wazazi iwapo hayakutekelezwa kwa nini Mtoto aadhibiwe tena kwa kuchapwa viboko? Hapo mtoto ana kosa gani? Kisheria adhabu hutolewa kwa mkosaji na si vinginevyo. Hasira zote kwa mzazu si vyema kuzimalizia kwa mtoto.
 
Wewe ni MJINGA kwani unadhani typo hazikosekani kwenye simu. Huwa sijali sana na nafikiri ujumbe umefika mbona wewe umebugi hapo kwenye redi, anayesoma mwenyewe na kufaulu na anayefundishwa uoga nani Bora.

Mnalipwa fundisheni kwa bidii ndani ya muda ULIOPANGWA acheni ulevi na kukimbia vipindi alafu mnakuja na programu za uongo na kweli.

Nashangaa sikuhizi mtoto ANAENDA Shule saa 11 kufanya nini wakati nasoma muda huo ulikuwa wa kuogaga baada ya zoezi na kunywa uji.

Alafu bado muda huo mnasema hauyoshi mkaongexa watoto wanatoka SAA1 Shule utagikiri walikuwa kazini.

Mimi nataka kazini badala nimkute mtoto nyumbani nakuta na yeye eti ANAENDA kuoga katoka Shule nani baba Sasa.
Fanyia kazi ushauri wangu utakuja kunikumbuka. Mimi nafundisha ambao kila baada ya miezi minne wanabadirisha masomo yao. Kwahiyo ungenijibu kua uliokua unasoma nao wote walifauru? Mwisho, kwakua ujali makosa unayoandika ndiyo maana elimu uliosoma akua nzuri ila kulalili
 
Sure mkuu kwa sisi tuliosoma seminari tumekuelewa sana mkuu.
Mimi sioni umuhimu wa tuvitu tunaitwa masomo ya ziada akili ya mtoto inaweza kuwa shaped ndani ya masomo hayo hayo kwa Ratiba hizo hizo.

Sababu unaposema masomo ya ziada eti mwalimu anawapa watoto pastpapers wafanye zoezi kitu ambacho mwalimu anaweza kigawa ndani ya kipindi CHAKE.

Watu inafika kipindi WANAFUNZI wanaenda Shule hadi weekend hii imezoeleka ila ni uvivu wa walimu na wanautumia kuiba pesa za wazazi.

Mitaala inaonyesha muda na vitu vya kufundisha je hauyoshi.
 
Mambo yanarudi kwa kasi sana , nami mdogo wangu mmoja anaenda shule ghafla anasema wameambiwa waende na 65,000 ya uendeshaji na 40,000 ya stationary

Hii ndio kusema kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake? Wa mtaani wale wapi?
Ni uongo na kama ni kweli.. taja shule hapa tumshuhulikie mkuu wa shule. SITANII
 
Kwa hiyo aliyepo shuleni ni muongo au wewe ndio muongo , unamshughulikia wewe kama nani
Uzi umejaa wazazi vijana wa hovyo na ambao hawafikirii kitu. Kumbuka huku tupo watu tofauti wa kariba tofauti pia ufanye ubongo wako kufikiria zaidi.
 
Uzi umejaa wazazi vijana wa hovyo na ambao hawafikirii kitu. Kumbuka huku tupo watu tofauti wa kariba tofauti pia ufanye ubongo wako kufikiria zaidi.
Ungekuwa wa maana na mwenye ubongo unaoudai una akili ungeuliza kwa ustaarabu ili uujue uongo wangu , katiba yako haitusaidii kama una kauli za kashfa .

Mwerevu huuliza kistaarabu apate ukweli
 
Kama ni tatizo ni kambi mbona hao walimu hakuwekaga kambi enzi zao wakafaulu, Mana nina uhakika hakuna mwalimu hapo mwenye A ya fizikia na maths both levels.
Huu ni upigaji mbona watu wanasoma na wamefaulu bila ya kambi.
Kama ishu ni kambi basi makubaliano yawepo kuwa anatoa hela asipofaulu warudishe hela.
Iweje awachape wanafunzi kwani wao ndio wanaotoa hela.
Kumbuka ada ya ,20k ilikuwa kazi ikatolewsa
Ila kuna vijamaa mnaongea Sana Ila kwangu mm naona ni sawa naomba niishie hapo
 
Mzazi aina yako ndiyo chanzo cha watawala ku presume kwamba wananchi wote ni mabogus.

Ada ya elfu 20 tu kwa mwaka iliwashinda wazazi wengi hadi kufikia mahali watoto wamefaulu ila wameshindwa kujiunga na sekondari kwa kukosa ada hiyo ndiyo serikali ikafanya tathimini na kuja na wazo la kufuta ada zote ili watoto wote waweze kupata haki ya elimu.

Sasa kama ada ya elfu 20 kwa mwaka mzima imemshinda mzazi vipi kuhusu 70,000 ambayo anailipa ndani ya mwezi ama miezi miwili anaitoa wapi?

Uwe unafikiria pande zote kabla ya kuja na hoja zako mkuu.
Average tuition fee ya private school ni tsh 750 000 na kuendelea wewe unataka bure na usishangae unaamini serikali inatoa fedha za kutosha kwa hizi shule
 
Mwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.

Kwani huu utaratibu wa kambi ni upigaji mpya ulioanzishwa na wakuu wa shule wakishirikiana na viongozi wa wilaya.

Tunakuonya na huu uwe ni ujumbe kwa walimu wote nchini: Acheni mara moja tabia hiyo, kwani Tsh 70,000 kila mwezi ni hela kubwa mno kwa wazazi.

Hawawezi, na mtaongeza idadi kubwa ya watoto wa mitaani.
wewe jamaa umefanya kitu cha hovyo hayo ni maazimio mliokubaliana wazazi na bodi ya shule au umeamua kumchafua mwalimu wa watu . tumia akili unapofanya mambo flan ungeweza kwenda shule ukaweke pingamizi kwamba mm sitaki mwanagu ashiriki hio program . Mimi kea uzoefu wangu wewe unaweza ukawa irresponsible parent haiwezekani mzazi timamu kuja na maada Kama hii. Kuna muda hata chaki za kufundishia ubaoni walimu hawana wanagombea vipisi vya chalk. Mbali na hayo watoto wenu wakirudi nyumbani wengi wao hawana time ya Ku review kile walichokisoma darasani hata kwa dakika tano no kutima television na series sasa bora kipi ashinde mazingira ya shule au abaki nyumbani . kumdhalilisha mwalimu ni sawa na kuikataa elimu hii laana haitakuacha salama Kama mwanao ni binti Nina imani atazaa akiwa hapo kwako Kama ni wakiume jiandae kupata kibaka. Haiwezekani mzazi timamu uamini eti elimu ni rahisi hivi mwalimu ni mzazi mwezio anakaa na mwanao kwa muda mrefu kwa siku kuluko wewe mzazi unaejifanya unampenda mtoto wako kuliko .imeniuma Sana Kama mwalimu imeniuma Sana na kunisikitisha kuona tuna wazazi akili mbili wewe tafuta mule bungeni Kama kuna mtu anasomesha mtoto shule ya kata unadhani ni kwa nn tumia akili
 
Mwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.

Kijana wa kidato cha nne ni mkubwa sana, kama anakubali kuchapwa kwasababu za kijinga hivi, basi huyo atakuwa USELESS maisha yake yote.
 
Mwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.

Kwani huu utaratibu wa kambi ni upigaji mpya ulioanzishwa na wakuu wa shule wakishirikiana na viongozi wa wilaya.

Tunakuonya na huu uwe ni ujumbe kwa walimu wote nchini: Acheni mara moja tabia hiyo, kwani Tsh 70,000 kila mwezi ni hela kubwa mno kwa wazazi.

Hawawezi, na mtaongeza idadi kubwa ya watoto wa mitaani.
Mkiambiwa mchangie Harusi mnatoa double hadi laki moja, single elf 70......kuchangia Elimu ya watoto wenu mnataka walimu wawafundishe bure baadaye mnaanza kuwatukana walimu eti wana maisha magumu,ujinga na upuuzi wa Tz............. ningekuwa mwalimu sijui ingekuaje maana inawezekana ningefukuzwa tu kazi
 
Boss nijuavyo mimi wazazi huwa wanaitwa na kushirikishwa kwenye mambo kama haya na sometimes wanapewa Uhuru wa kupanga wenyewe kiasi watakachokimudu. Labda kama wazazi hawakujulishwa hapo ndo changamoto, na huwa inasaidia mimi kijana wangu hii ilimsaidia sana
Wazazi wengi wakiitwa kwenye vikao hawaendi matokeo yake ndio haya japo 70000 Kwa mwezi hata kama walikubaliana Kwa wananchi wengi wanaoongozwa na serikali hii ya CCM kuipata ni mtihani.
 
Back
Top Bottom