DOKEZO Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Daniel Ole Njoolay, amewafukuza wanafunzi Kidato cha 4 kwa kutotoa Tsh 70,000 ya kambi

DOKEZO Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Daniel Ole Njoolay, amewafukuza wanafunzi Kidato cha 4 kwa kutotoa Tsh 70,000 ya kambi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kijana wa kidato cha nne ni mkubwa sana, kama anakubali kuchapwa kwasababu za kijinga hivi, basi huyo atakuwa USELESS maisha yake yote.
Jaribu kutembelea mkoa wa Mara unaweza Kuta mtu mwenye umri wa baba Yako anatandikwa fimbo
 
Walimu wanahangaika sana mm mzazi akisema hiki hafany hainipi stress mtoto ni wake kamzaa mwenyew wapunguze kujitia uchungu na maisha ya watu
 
Back
Top Bottom