DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Aha!!Washindwe kumuandaa miaka yote mitatu na nusu waje kumuandaa mienz minne iliyobaki ......upigaji tu
Aha!!Washindwe kumuandaa miaka yote mitatu na nusu waje kumuandaa mienz minne iliyobaki ......upigaji tu
Mzazi aina yako ndiyo chanzo cha watawala ku presume kwamba wananchi wote ni mabogus.Kama ni makubaliano toeni hizo pesa ili shughuli ziende ,hizi siasa zinawafanya kuwa wajinga .Toeni pesa mambo yaende
Alf unakuta waalimu hawaudhurii na washamaliza TopicKama ni tatizo ni kambi mbona hao walimu hakuwekaga kambi enzi zao wakafaulu, Mana nina uhakika hakuna mwalimu hapo mwenye A ya fizikia na maths both levels.
Huu ni upigaji mbona watu wanasoma na wamefaulu bila ya kambi.
Kama ishu ni kambi basi makubaliano yawepo kuwa anatoa hela asipofaulu warudishe hela.
Iweje awachape wanafunzi kwani wao ndio wanaotoa hela.
Kumbuka ada ya ,20k ilikuwa kazi ikatolewsa
Wazo la watoto kukaa kambini to me is good ides .Sasa mtu kama hawezi kumudu elfu 70 kwanini anazaa?
Inaumiza mno kama mzazi aise.wanakosa busara
Yani mwanafunzi asisome kisa kambi🤔
Aisee
Inasikitisha sana mkuu yaani una imagine huyo ni mkuu wa shule alivyo mweupe kichwani namna hiyo vipi hao walimu anaowaongoza watakuwa na hali gani?Kama ni tatizo ni kambi mbona hao walimu hakuwekaga kambi enzi zao wakafaulu, Mana nina uhakika hakuna mwalimu hapo mwenye A ya fizikia na maths both levels.
Huu ni upigaji mbona watu wanasoma na wamefaulu bila ya kambi.
Kama ishu ni kambi basi makubaliano yawepo kuwa anatoa hela asipofaulu warudishe hela.
Iweje awachape wanafunzi kwani wao ndio wanaotoa hela.
Kumbuka ada ya ,20k ilikuwa kazi ikatolewsa
Serikali na siasa zinawadanganya Sana.Mzazi aina yako ndiyo chanzo cha watawala ku presume kwamba wananchi wote ni mabogus.
Ada ya elfu 20 tu kwa mwaka iliwashinda wazazi wengi hadi kufikia mahali watoto wamefaulu ila wameshindwa kujiunga na sekondari kwa kukosa ada hiyo ndiyo serikali ikafanya tathimini na kuja na wazo la kufuta ada zote ili watoto wote waweze kupata haki ya elimu.
Sasa kama ada ya elfu 20 kwa mwaka mzima imemshinda mzazi vipi kuhusu 70,000 ambayo anailipa ndani ya mwezi ama miezi miwili anaitoa wapi?
Uwe unafikiria pande zote kabla ya kuja na hoja zako mkuu.
" Mana nina uhakika hakuna mwalimu hapo mwenye A ya fizikia na maths both levels" hizi diss punchlines zilishudiwa enzi za akina Tupak Shakur na Notorious B.I.G wakati huo Hiphop ipo kwenye peak...Kama ni tatizo ni kambi mbona hao walimu hakuwekaga kambi enzi zao wakafaulu, Mana nina uhakika hakuna mwalimu hapo mwenye A ya fizikia na maths both levels.
Huu ni upigaji mbona watu wanasoma na wamefaulu bila ya kambi.
Kama ishu ni kambi basi makubaliano yawepo kuwa anatoa hela asipofaulu warudishe hela.
Iweje awachape wanafunzi kwani wao ndio wanaotoa hela.
Kumbuka ada ya ,20k ilikuwa kazi ikatolewsa
Then NRNENaona ambavyo elimu ama ukubwa hata nyumbani hujapewa elimu yoyote. Unajua Kodi inayokusanywa inafanya nini, ilitakiwa matibabu , elimu, maji mpaka umeme iwe free kwa Taifa tajiri Kama hili. Hata Russia wanafunzi wanasoma bure chuo kikii wao kazi yao ni kufaulu tu.
Kuna usafiri wa umma nauli ni ndogo mno.
Unachaji kwa 50k mwezi mzima wewe ni kusafiri unapotaka.
Iko ivi nchi yenye ustawi mzuri Haina haja ya kuumiza wananchi wake Mana wanalipa Kodi, inaonekana hujui Mana ya Kodi na inafanya nini. Mwishowe utasema kuwa Kila mtu ajijengee shule ama Barabara zake Mana unao uwezo.
Mpaka nyumba zinajengwa zinapangishwa kwa gharama nafuu kwa wananchi wake , unajua Mana ya cost sharing
Si kamati ya Wazazi inashirikishwa na ndio inayochambua hiyo elfu 70 itatumika vipi. Wakiridhika mchango unapitishwa kwa Kauli moja.Watu hawakatai kulipa issue ziwe hizo gharama ziwe formal, sio zile mtu anaamka anasema kesho mje na ada ya fagio la mwalimu mkuu
Mtoto wangu hakuna Kambi asome anarud nyumbani Kambi ya kitu gani? Wanatuharibia watoto tu, hata wakisema Bure mtoto wangu Kambi haendiHiyo 70K inakuwa included na Chakula if yes lipia haraka mtoto apate kuandaliwa vizuri.
Nakukumbuka nilivyokuwa f4 nilitolewa kwenye kipindi na kuchapwa nikafuateInaumiza mno kama mzazi aise.
Yaani mtoto akose haki ya elimu kisa mchango usiokuwa na kichwa wala miguu?
Nawashauri wazazi wenye watoto wao waji organize waende kumweleza ukweli huyo mwalimu kwamba mchango ni hiyari sio lazima kwakuwa hakuna mahali popote kwenye sheria,kanuni wala muongozo wa elimu ulipotaja suala la michango kama ni suala la lazima.
Ushauri tu ndugu😀😀Hizo hasira mkuu
Kweli kabisa kamanda... ata walimu wasipofundisha watoto wote wana akili na watafauru tuNi Bora kwani hamlipwi si mfundishe kawaida vitu ambavyo mnalipwa kwenye mishahara ?, anafaulu mtoto sio kwa hayo maprogram ya kishenzi
No wajinu wa walimu kufundisha sababu wanalipwa kama hizo program ni muhimu waiambie serikali izipitie na kuziingeza kwenye mfumo. Sio kutuletea chochote wanachotaKa.Kweli kabisa kamanda... ata walimu wasipofundisha watoto wote wana akili na watafauru tu
Hana akiliMwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.
Kwani huu utaratibu wa kambi ni upigaji mpya ulioanzishwa na wakuu wa shule wakishirikiana na viongozi wa wilaya.
Tunakuonya na huu uwe ni ujumbe kwa walimu wote nchini: Acheni mara moja tabia hiyo, kwani Tsh 70,000 kila mwezi ni hela kubwa mno kwa wazazi.
Hawawezi, na mtaongeza idadi kubwa ya watoto wa mitaani.
Ada imerudi ki wiziMwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.