Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Hiyo 70K inakuwa included na Chakula if yes lipia haraka mtoto apate kuandaliwa vizuri.Mwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.
Kwani huu utaratibu wa kambi ni upigaji mpya ulioanzishwa na wakuu wa shule wakishirikiana na viongozi wa wilaya.
Tunakuonya na huu uwe ni ujumbe kwa walimu wote nchini: Acheni mara moja tabia hiyo, kwani Tsh 70,000 kila mwezi ni hela kubwa mno kwa wazazi.
Hawawezi, na mtaongeza idadi kubwa ya watoto wa mitaani.
Boss nijuavyo mimi wazazi huwa wanaitwa na kushirikishwa kwenye mambo kama haya na sometimes wanapewa Uhuru wa kupanga wenyewe kiasi watakachokimudu. Labda kama wazazi hawakujulishwa hapo ndo changamoto, na huwa inasaidia mimi kijana wangu hii ilimsaidia sanaMwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.
Kwani huu utaratibu wa kambi ni upigaji mpya ulioanzishwa na wakuu wa shule wakishirikiana na viongozi wa wilaya.
Tunakuonya na huu uwe ni ujumbe kwa walimu wote nchini: Acheni mara moja tabia hiyo, kwani Tsh 70,000 kila mwezi ni hela kubwa mno kwa wazazi.
Hawawezi, na mtaongeza idadi kubwa ya watoto wa mitaani.
Hiyo 70K inakuwa included na Chakula if yes lipia haraka mtoto apate kuandaliwa vizuri.
Hakika japo kwa sasa uchumi wa wazazi unaweza usiwe imaraBoss nijuavyo mimi wazazi huwa wanaitwa na kushirikishwa kwenye mambo kama haya na sometimes wanapewa Uhuru wa kupanga wenyewe kiasi watakachokimudu. Labda kama wazazi hawakujulishwa hapo ndo changamoto, na huwa inasaidia mimi kijana wangu hii ilimsaidia sana
Ni Bora kwani hamlipwi si mfundishe kawaida vitu ambavyo mnalipwa kwenye mishahara ?, anafaulu mtoto sio kwa hayo maprogram ya kishenziBora watoto wapate zero kuliko kuwachangisha wazazi kamanda
Tuanze na Daniel Njollay mwenyewe anasemaje? Huenda ndiye amemtuma huyo Mwalimu atekeleze hizo adhabuMwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.
Mishahara hauyoshi iuwaandaa watoto mpaka matwisheni n.kHiyo 70K inakuwa included na Chakula if yes lipia haraka mtoto apate kuandaliwa vizuri.
Unatosha Ila lazima tupigie msimu huu Mkuu Mimi Kama Mwalimu wa kiswahili.Mishahara hauyoshi iuwaandaa watoto mpaka matwisheni n.k
Kama chakula included sawa na bado haitoshi , je shule ambayo iko full funded na serikaliHiyo 70K inakuwa included na Chakula if yes lipia haraka mtoto apate kuandaliwa vizuri.
😀😀Hizo hasira mkuuBora watoto wapate zero kuliko kuwachangisha wazazi kamanda
Toeni hela acheni kulalamika. Fanyeni kazi sio kuzaa tu mnashindwa kulipia watoto elfu 70 tu.Mwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.