Huu upuuzi unaoitwa kambi ni njia ya kifisadi ya kuwapiga wazazi tuache kutetea ujinga.Hakika japo kwa sasa uchumi wa wazazi unaweza usiwe imara
Ila ikiwa hatashindwa kutoa 70K watengeneze mfumo wa kuchangiana yaani waweke target kuwa Kama watoto wapo 100 basi at least watoto wenye nafuu za maisha ambao hawatopungua 60 wali pie then wale 40 ambao familia zao hazijiwezi wawekewe mfumo wa Credit wasome kwa kudaiwa
Ila wakisema hizo kambi ni za wale watakaotoa hela cash tu basi itapelekea kuwanyima fursa wengine.
Huna uelewa Mana ya nchi na ni nini Mana ya kulipa Kodi naona.ulitegemea ale chakula ambacho kimechangwa na wengine, acha kulialia huo mchango ni makubaliano ya wazazi wewe ndo tatizo
Watu hawakatai kulipa issue ziwe hizo gharama ziwe formal, sio zile mtu anaamka anasema kesho mje na ada ya fagio la mwalimu mkuuToeni hela acheni kulalamika. Fanyeni kazi sio kuzaa tu mnashindwa kulipia watoto elfu 70 tu.
Naona ambavyo elimu ama ukubwa hata nyumbani hujapewa elimu yoyote. Unajua Kodi inayokusanywa inafanya nini, ilitakiwa matibabu , elimu, maji mpaka umeme iwe free kwa Taifa tajiri Kama hili. Hata Russia wanafunzi wanasoma bure chuo kikii wao kazi yao ni kufaulu tu.Toeni hela acheni kulalamika. Fanyeni kazi sio kuzaa tu mnashindwa kulipia watoto elfu 70 tu.
Hivi Daniel Ole Njolay yuko wapi huyu muheshimiwaMwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.
Kwani huu utaratibu wa kambi ni upigaji mpya ulioanzishwa na wakuu wa shule wakishirikiana na viongozi wa wilaya.
Tunakuonya na huu uwe ni ujumbe kwa walimu wote nchini: Acheni mara moja tabia hiyo, kwani Tsh 70,000 kila mwezi ni hela kubwa mno kwa wazazi.
Hawawezi, na mtaongeza idadi kubwa ya watoto wa mitaani.
Sasa mtu kama hawezi kumudu elfu 70 kwanini anazaa?Hakika japo kwa sasa uchumi wa wazazi unaweza usiwe imara
Ila ikiwa hatashindwa kutoa 70K watengeneze mfumo wa kuchangiana yaani waweke target kuwa Kama watoto wapo 100 basi at least watoto wenye nafuu za maisha ambao hawatopungua 60 wali pie then wale 40 ambao familia zao hazijiwezi wawekewe mfumo wa Credit wasome kwa kudaiwa
Ila wakisema hizo kambi ni za wale watakaotoa hela cash tu basi itapelekea kuwanyima fursa wengine.
Hiyo 70K inakuwa included na Chakula if yes lipia haraka mtoto apate kuandaliwa vizuri.
Huu ndiyo ukweli kabisa mkuu.Washindwe kumuandaa miaka yote mitatu na nusu waje kumuandaa mienz minne iliyobaki ......upigaji tu
Mazingira yetu ya miaka ya 1990s yalikuwa hayana destruction Kama mazingira ya Leo .Kama ni tatizo ni kambi mbona hao walimu hakuwekaga kambi enzi zao wakafaulu, Mana nina uhakika hakuna mwalimu hapo mwenye A ya fizikia na maths both levels.
Huu ni upigaji mbona watu wanasoma na wamefaulu bila ya kambi.
Kama ishu ni kambi basi makubaliano yawepo kuwa anatoa hela asipofaulu warudishe hela.
Iweje awachape wanafunzi kwani wao ndio wanaotoa hela.
Kumbuka ada ya ,20k ilikuwa kazi ikatolewsa
wanakosa busaraKuna wakati baadhi ya walimu vilaz,a kama huyo anayemuadhibu mtoto kwa kutotoa mchango wa 70,000 ndiyo wanasababisha walimu wote kudharaulika na jamii.
Sasa mtoto anatoa wapi fedha ya mchango hadi umuadhibu?
Mbona ni vitu vya kipuuzi sana hivyo wakuu. Halafu utakuta kuna mtu anatetea upuuzi kama huo.
Ngāombe hanenepi siku ya mnadaWashindwe kumuandaa miaka yote mitatu na nusu waje kumuandaa mienz minne iliyobaki ......upigaji tu
wazazi watoe hera za kambi waache visingizio,............ikiwezeka wauuze hizo baskeli watoto wasome tujenge taifa la kesho tuache visingizioMwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.