Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,538 Reaction score 21,664 Jul 11, 2025 #81 Keyboard_Warrior said: Kijana wa kidato cha nne ni mkubwa sana, kama anakubali kuchapwa kwasababu za kijinga hivi, basi huyo atakuwa USELESS maisha yake yote. Click to expand... Jaribu kutembelea mkoa wa Mara unaweza Kuta mtu mwenye umri wa baba Yako anatandikwa fimbo
Keyboard_Warrior said: Kijana wa kidato cha nne ni mkubwa sana, kama anakubali kuchapwa kwasababu za kijinga hivi, basi huyo atakuwa USELESS maisha yake yote. Click to expand... Jaribu kutembelea mkoa wa Mara unaweza Kuta mtu mwenye umri wa baba Yako anatandikwa fimbo
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,311 Reaction score 49,343 Jul 11, 2025 #82 Walimu wanahangaika sana mm mzazi akisema hiki hafany hainipi stress mtoto ni wake kamzaa mwenyew wapunguze kujitia uchungu na maisha ya watu
Walimu wanahangaika sana mm mzazi akisema hiki hafany hainipi stress mtoto ni wake kamzaa mwenyew wapunguze kujitia uchungu na maisha ya watu
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,381 Reaction score 11,296 Jul 11, 2025 #83 Marco Polo said: Jaribu kutembelea mkoa wa Mara unaweza Kuta mtu mwenye umri wa baba Yako anatandikwa fimbo Click to expand... Oooh, mkoa wa Mara wajinga wengi eeeh!?
Marco Polo said: Jaribu kutembelea mkoa wa Mara unaweza Kuta mtu mwenye umri wa baba Yako anatandikwa fimbo Click to expand... Oooh, mkoa wa Mara wajinga wengi eeeh!?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Jul 11, 2025 #84 Aiseeehhh!! Sio fair Cc Smart911