DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Anafunga saa ngapi hayo maombiMwalimu Mwakasege amesema wanadamu wanapaswa kujihoji ni wapi tumemkosea Mungu kisha tutubu na kumrudia.
Mwakasege amesisitiza kuwa hii Corona siyo mpya bali ni ile Tauni iliyosemwa katika Biblia takatifu.
Mwalimu Mwakasege amesema hayo wakati wa semina inayoendelea huko Njiro Arusha na kesho ndio siku ya kufunga semina.
Source Upendo tv!
Halafu tauni Ina ambukizwa na panya Kama sijakoseaHii sio Tauni. Aache kudanganya watu.
Tauni ni Anthrax kwa kimombo, hili ni gonjwa lingine kabisa.
Unforgetable
Broke and greedy moves only lead to disasters!
Mmh bado anakusanya watu na hii CORO??
wonders shall never seize[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona siyo tauni waache kulisha watu matangopori.
Wacha wee! Umetutoa kwenye matango pori na sasa unatulisha tunguja mwitu 😷 😷 😷Anthrax ni sotoka,Tauni ni plague
Kuanzia saa 10.00 jioni hadi 12:30Anafunga saa ngapi hayo maombi
kush and Wisdom
Hujaelewa!Hii sio Tauni. Aache kudanganya watu.
Tauni ni Anthrax kwa kimombo, hili ni gonjwa lingine kabisa.
Unforgetable
Hujaelewa chochote, yani kiufupi katika haya mambo wewe ni mweupe kabisa kichwani!Hawa matapeli kumbe bado wapo na kushindwa kuponyesha corona? Ona linavyopotosha , plague/Tauni inaletwa na bacterium Yersinia pestis , corona ni virus, wapi na wapi!
Bado utapeli umejichimbia kwenye vichwa vyao
Tanzania ya kwenye mitandao unaweza kuhisi uko jehanamuMwakasege ajakusanya watu alikua anaongea mbele ya camera bila ya watu tuacheni upotoshaji
Una jina la Kikristo ila hujaelewa chochote hata wewe dah.Aache uongo. Spanish flu ilikuwa na rate kuwa ya kuua kuliko Coronavirus.
Watu mamilioni walikufa. Spanish flu pia ilikuwa tauni ?
Plague ni ndiyo tauni jamani.
mhhh, kwamba hakuna audience, ? jana nimefuatilia kwenye TV naona yupo kwenye Jukwaa ila camera imeelekezwa kwake mwanzo mwisho, Je ni kwamba kaenda uwanjani bila ya kuwepo watu au wameamua kutoonesha waumini waliokuwepo uwanjani?
Taun ni ugonjwa ambao unaua watu wengi kwa mda mfupi kwa hiyo hata Spanish flu ilikua tauni, shida moja watu wamekariri lakin inajulikana neno moja linaweza kuwa na maana Zaid ya moja lakin watu wanajifanya hawajuiAache uongo. Spanish flu ilikuwa na rate kuwa ya kuua kuliko Coronavirus.
Watu mamilioni walikufa. Spanish flu pia ilikuwa tauni ?
Plague ni ndiyo tauni jamani.
Kwan haiwezekan yeye kuhubiri bila audience acha kukaririmhhh, kwamba hakuna audience, ? jana nimefuatilia kwenye TV naona yupo kwenye Jukwaa ila camera imeelekezwa kwake mwanzo mwisho, Je ni kwamba kaenda uwanjani bila ya kuwepo watu au wameamua kutoonesha waumini waliokuwepo uwanjani?
Wale ni spiritual hawana dawa,Naomba nijulishwe na wanaowaamini hawa watu, kwani ni aina gani ya magonjwa wanayoponywa na hawa manabii/mitume wenu.
Isije wataalamu/wanasayansi wamegundua dawa na wao ndio wajifanye wamepata ufunuo wa kuponya korona
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kimeta kwa kimombo kinaitwaje?Hii sio Tauni. Aache kudanganya watu.
Tauni ni Anthrax kwa kimombo, hili ni gonjwa lingine kabisa.
Unforgetable
Wewe ndio mwanafunzi msikivu(umeelewa)Kwa mujibu Wa Mwl Mwakasege kama umesikiliza vizuri..alichosema ni kuwa kwenye biblia Tauni inamaanisha ugonjwa wowote unaoambukiza haraka na akalinganisha na Corona kwa sasa na bado ameongeza kwa kusema kuwa yeye anasimamia neno na si sayansi yetu hii ambayo ukitafsiri wote tutasema kuwa ni plague na organism ni Yersnia kama mdau alivyosema juu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafundisha kwa njia ya redio na tvYupo kwenye semina?Anakusanya mikusanyiko ya watu?![emoji848][emoji848][emoji848]
Huyu mkuu amemuelewa kama mimi nilivyoelewa.Mkuu wewe ndio upo sahihi.
Sibishani.