Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

Basi Ebola nayo ni TAUNI
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tauni si ndio ugonjwa wa panya ama



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hujaelewa chochote, yani kiufupi katika haya mambo wewe ni mweupe kabisa kichwani!
Amesema amefunga kula mpaka corona itoke, sasa nikasea kama ni hivyo basi majibu tutayaona baada ya siku kama 12 if he can sustain hunger. Wewe unakuja hapa unanitukana. Basi mweupe kichwani ni mama yako.
 
Umepotea na wewe tauni ni plague na ulishawatandikaga ulaya enzi hizo
Wewe ndio umepotea,plague ni bacteria infection na covid_19 ni viral infection kwahiyo ni vitu viwili tofauti hapo yaani covid_19 ni maradhi ambayo yanasababishwa na vimelea aina ya virusi ambao ni corona virus na plague inasababishwa na vimelea aina ya bacteria sasa usawa uko wapi hapo?
 
Mlipuko wa Corona sio wa kwanza kutokea duniani, huko nyuma kulitokeaa milipukko mingi ya magonjwa tena yaliuaa watu wengi zaidi ya Corona

Piga pesa tu kwenye hizo semina zako mwalimu Mwakasege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Plague ni ugonjwa wowote unao ua watu wengi kwa mda mfupi ndo maana kwenye version za biblia ya kingereza wametumia plague mfano Numbers 16:46, Kama waliokuletea dini na science wanakuambia ni pi plague na unawabishia aya
 
Usawa uko kwenye kuuwa watu wengi kwa muda mfupi!

Hii ni kiroho zaidi.
 
Si awaulize ccm mambo ya hovyo wanayoyafanya? Au naye ni miongoni mwa wale wachumia tumbo.
 
Hii sio Tauni. Aache kudanganya watu.

Tauni ni Anthrax kwa kimombo, hili ni gonjwa lingine kabisa.
Unforgetable
Alafu na wewe jamaa eti ni nurse sijui doctor, sasa kwa mwendo huu si utakuwa unatuulia wagonjwa wetu kila siku kwa uzembe
 
Usawa uko kwenye kuuwa watu wengi kwa muda mfupi!

Hii ni kiroho zaidi.
Kwa jinsi ulivyoiweka hiyo title, kwa mtu ambaye hakumsikiliza mwakasege hawezi kuelewa alichokuwa anamaanisha. Ndio maana wengi wanamshambulia kwa kwasababu ya hiyo title.
 
Kwa jinsi ulivyoiweka hiyo title, kwa mtu ambaye hakumsikiliza mwakasege hawezi kuelewa alichokuwa anamaanisha. Ndio maana wengi wanamshambulia kwa kwasababu ya hiyo title.
Mwakasege hakumung'unya maneno alisema Corona ni tauni!
 
Biblia inatofautisha sana magonjwa. Yameandikwa kwa majina yake na maelezo yake tofauti. Mfano Ukoma ulikuwa na maelekezo yake na tauni na majipu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…