Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

Kimsingi kanisa aliloacha kristo ndio hilo la ulimwengu. Tangu wanafunzi wake wakiwepo, wakristo kanisa la mwanzo lililokuwa ndio hilo. Ni ukweli ambao watu wengi kwa kuwa tayari wana prejudice, wapo negative kuhusu Kanisa, hawafanyi proper research kuhusu kanisa badala yake wanasoma conspiracy theories na kusikiliza sumu walizolishwa .
 
Kumbe watoto wa Mama Maria wanakukera? Mungu alimtumia Maria kuja duniani, na sisi tunamtumia Maria kurudi kwa Mungu, huwezi kumpenda Maria kuliko mwanae Yesu. Maria alimbeba Mungu tumboni mwake, sio bwege mmoja kama wewe usie na akili wala kujitambua. Ukatoliki ndio ukristo. Nyie waasi tu. Wakristo ni wakatoliki. Historia, mapokeo ikiwemo bibilia unayoisoma, namna za kuabudu tunafanya tangu ancient times.
 
Kwa hiyo Wakatoliki peke yenu ndo mtakwenda mbinguni? [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Wakiacha hayo unayosema, hakuna tena kanisa hapo, ni pango kama ya waprotestanti. Vyote hivyo kama una akili jaribu kufanya tafiti kwa nini wanafanya hayo, utajua ujui.
 
La kwako na nani wewe mmatumbi muabudu mizimu. Dini umeletewa lakini jinsi unavyoonyesha chuki dhidi ya wakristo wengine inaonyesha unaweza kuua. Umenifanya mpaka ni nimekufuru shenziii.
Yesu ni wa wote. Ndio maana ya katoliki , la ulimwengu, Yani kila kabila, na rangi, sio makanisa ya watu binafsi. Sina chuki na hao wengine. Ila sio wakristo kamili πŸ˜‚πŸ˜‚ na ikuume tu.
 
Shida yako nimeshaiona. Kwako wewe kanisa ni Majengo ya kikatoliki.
 

Wakatoliki Hawaangalii quantity ba Umuhimu unaangaliwa kwenye Quality!
Hata waache Ukatoliki woote Mimi Siuachi! Nakushauri ww ndio Ubadilike![emoji123][emoji106]

Biblia Takatifu sio Neno Pekee la Mwenyezi Mungu; Hata Biblia yenyewe inajishuhudia!
[emoji116][emoji116]
Yohana 20
30 Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki.

Yohana 21
25 Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.

Kuungama kwa Padri Yesu Mwenyewe Ameagiza!
[emoji116][emoji2535][emoji116][emoji2535]
Yohana 20
23 Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa.

Na Kukaimisha Mamlaka Yake kwa Kanisa!
[emoji116][emoji2535][emoji116][emoji2535]
Mathayo 16
15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?

16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

Hakuna Hata Mfuasi hata m.1 Anaelazimishwa Asioe! Kwa Mapenzi yao wenyewe ktk Kumtumikia Mungu Wamejitoa Hivyo!
Yesu Mwenyewe Amelitolea Ufafanuzi!
[emoji116][emoji2535][emoji116][emoji2535]
Mathayo 19
11 Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.

12 Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.
 
Pokea gari!
Pokea nyumba!
Pokea mimba!
....huu ni ushirikina hakuna Haki bila wajibu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
wait,
mtoto tunabatiza akiwa na less than 14 yrs (hajitambui), sasa huyu anaamini vipi?
maana andiko linasema 'aaminiye na kubatizwa' i.e kunatangulia kuamini kisha kunafuata kubatizwa......

msaada boss hapo
 
Bora uwafafanulie. Mi nshawachokaga, wanadhani katoliki linakurupuka.
 
Y
Yani mkatoliki mzima hajui kwamba kanisa lake ndio kweli ilipo mpaka miaka 2000 baadae mwakasege ndio kawaamsha πŸ˜‚πŸ˜‚? Kweli machizi wapo kibao.
 
Yani kanisa libadilike kufata matakwa yako? Haha. Ingekuwa ni hivyo ungekuta saa hizi, ata amri za Mungu zimepunguzwa.
 
Huwa nabarikiwa sana na huduma ya huyu mtumishi wa Bwana, sio kwamba hawapo wengine ila nikimsikiliza huyu naelewa sana. Ingawa huwezi kubalika na kila mtu kama baadhi wanaoanza kuponda, ila Mwl. Mwakasege anatumiwa na Mungu kwa viwango vya juu mno!!
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…