Mhhh kanisa katoliki au umekosea mkuu.Wakati anafunga semina ya Neno la Mungu wilayani Kahama Mwalimu Mwakasege amesema amealikwa na.Kanisa Katoliki jijini Dodoma kuwa mnenaji Katika semina ya Karismatiki
Mwalimu Mwakasege atahudumu kwa siku.mbili 31/05/2022 na 01/06/2022
Chanzo: Upendo tv
Hivi huyu Mwl. Mwakasege yeye mwishoni mwa mahubiri yake uwa haombi sadaka kama ilivyo kwa wengine?Hana tamaa, angekua na tamaa angeanzisha kanisa na ana watu wengi.
Nimehudhuria semina zake, kwanza kamati yake ya maandalizi wapo smart kufunga mahema na huduma nyinginezo.
Huwa nabeba daftari kabisa , maana nchi hii mwalimu ni Nyerere na Mwakasege tu, wengine ni "maticha" tu.
Hao sio wakatoliki asilia, ni nusu wakatoliki nusu walokoleWakati anafunga semina ya Neno la Mungu wilayani Kahama Mwalimu Mwakasege amesema amealikwa na.Kanisa Katoliki jijini Dodoma kuwa mnenaji Katika semina ya Karismatiki
Mwalimu Mwakasege atahudumu kwa siku.mbili 31/05/2022 na 01/06/2022
Chanzo: Upendo tv
Una uhakika?Hao sio wakatoliki asilia, ni nusu wakatoliki nusu walokole
Hahaah sasa inawezekana na "Mwamposa" nae akapata nafasi kama hiyo, je huko nako watafungiwa ? Kama ilivyokuwa Njombe?Wakati anafunga semina ya Neno la Mungu wilayani Kahama Mwalimu Mwakasege amesema amealikwa na.Kanisa Katoliki jijini Dodoma kuwa mnenaji Katika semina ya Karismatiki
Mwalimu Mwakasege atahudumu kwa siku.mbili 31/05/2022 na 01/06/2022
Chanzo: Upendo tv
Umepotea njiaShida nin?
Bwana Yesu ni wetu sote....Mhhh kanisa katoliki au umekosea mkuu.
Kibali cha kwenda kuhubiri kimetolewa na nani.
Katoliki syo sawa na kina mwamposa,
Anyway ngoja tungoje
Wakati woteMungu ni mwema
Umekaririshwa!Jukwaa la siasa???
Kwa somo alilofundisha Kahama wiki iliyopita, alikuwa ameingia ndani muno; kwa watu ambao bado ni wachanga kiroho kama nilivyo mimi hapa ilikuwa ni ngumu kuweza kumeza sawia kile alichokuwa anaongea.Huyu mzee nikiwaga kwenye wifi iliyotulia huwa nachukuaga madini kwake.
Yuko smart sana huyu mzee.
Yaani hao waliompa mwaliko watashushiwa ban na kanisa katoliki. Hawataamini macho na masikio yao. Yetu machoMhhh kanisa katoliki au umekosea mkuu.
Kibali cha kwenda kuhubiri kimetolewa na nani.
Katoliki syo sawa na kina mwamposa,
Anyway ngoja tungoje
[emoji3][emoji3]Akili ya mwakasege ni sawa na mapadri 32.
Sadaka haiombwi; ni wajibu wako kama Mkristo kutoa sadaka pasi kulazimishwa. Hakuna ibada inayokamilika bila sadaka.Hivi huyu Mwl. Mwakasege yeye mwishoni mwa mahubiri yake uwa haombi sadaka kama ilivyo kwa wengine?
Kirahisi tunaweza kusema ni wakatoliki walokole. Kwa maana wanahisia Kali juu ya mapokeo ya injili. Hawababaishi!Hao sio wakatoliki asilia, ni nusu wakatoliki nusu walokole
Nami nililiona hilo. Labda angealika ambao tayari wameokoka na wako kwenye utumishi. Kuna watu walikuja kuombewa tu au kuokoka. Kama walikuwepo walio kwenye utumishi, basi walikuwa kiduchu mno!Kwa somo alilofundisha Kahama wiki iliyopita, alikuwa ameingia ndani muno; kwa watu ambao bado ni wachanga kiroho kama nilivyo mimi hapa ilikuwa ni ngumu kuweza kumeza sawia kile alichokuwa anaongea.
Imagine alipokuwa anasema kuwa mtu anapokuwa ana upako wa wito wa kumtumikia Mungu; halafu anaingia kwenye utumishi wa Mungu na kuendelea kutumia upako huo huo wa wito, wakati kumbe upako wa wito ni upako wa mara moja tu kwa ajili ya kumuingiza mtu huyo kwenye huduma; halafu mtu huyo akishaingia kwenye huduma, anahitaji tena upako mwingine wa kumbeba kwenye mchakato mzima wa utumishi wake
Sasa hapa unaweza kuona namna madini haya yalivyokuwa magumu kumeza kwa muumini wa kawaida kama mimi. Madini kama haya yaliwafaa sana wale ambao tayari ni watumishi wa Mungu, au wale ambao wanajiandaa kwa ajili ya utumishi wa Mungu
Huyu mtumishi kwa kweli ameshatembea na Mungu katika namna ambayo asipoangalia, atakuwa anaingia kwenye darasa la wanafunzi wa darasa la saba halafu anaanza kufundisha integration ambazo wanatakiwa kufundishwa wanafunzi wa chuo kikuu. Mimi kwa upande wangu sina kabisa tatizo na hilo na kwa vyovyote atakavyofanya mimi nitajitahidi kumsikiliza na kuchukua kile nitakachoweza kuchukua