Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Ongea na huyu nabiiNaomba sana Yesu asinisahau katika Ufalme wa Baba yake
Yesu Kristo naomba unikumbuke niuone utukufu wako kwa Baba yako mbinguni
Hilo ndio Ombi langu
Ongea na huyu nabiiNaomba sana Yesu asinisahau katika Ufalme wa Baba yake
Yesu Kristo naomba unikumbuke niuone utukufu wako kwa Baba yako mbinguni
Hilo ndio Ombi langu
Karismatiki hawajajitenga bwasheeSoma heading vizuri.
Hawa ni wa RC waliojitenga sio wale og
Tangu lini mwa RC anaamini ujazo wa Roho mtakatifu na kunena?Karismatiki hawajajitenga bwashee
Hilo nalo neno, umetoa angalizo zuri. Roho Mtakatifu ni kila kitu katika utendaji wowote ule wa kazi ya BwanaMtu unapaswa kwanza kujiuliza upako ni nini?
Je kuna mifano ya upako wa aina hizo mbili katika Biblia?
Kama hakuna achana na hayo mafundisho.
Kwa ufupi ni kuwa upako ni tendo lilotumika katka Agano la kale kwa wafalme, nabii na kuhani. Ilikuwa ni ishara ya nguvu katika huduma zao.
Katika Agano jipya upako ni Roho Mtakatifu, mfano Yesu anasema Roho wa Bwana yu juu yangu amenipaka mafuta kuwahubiri maskini ....Lk 4:18.
Unaposema upako wa wito na wa kazi unamaana ya Roho Mtakatifu mara mbili?
Fanya utafiti
Unazungumzia Katoliki gani?Tangu lini mwa RC anaamini ujazo wa Roho mtakatifu na kunena?
Tangu lini RC akubali mafundidho ya kilokole?
Imeandikwa.." kwa mtini jifunzeni" sio lazima watangazwe kujitenda bali tunasngalia matendo na matunda yao.
Kuingia msikitini haimaanishi anauamini uislam ..imani ni maisha budaaUnazungumzia Katoliki gani?
Papa anaingia hadi msikitini siku hizi kama.hujui ndio unajuzwa
Ndio waliotoa mwalikoMaparoko wa dodoma wanasemaje kwani?maana wa Iringa washafungia watu
Eeeh Yesu Yuko njianiNdio waliotoa mwaliko
Hayo mambo ya miti na ukoo unayataja wewe.Mafundisho ya Laana na Mambo ya Miti ya Ukoo ndio Hekima yenyewe?
AmenEeeh Yesu Yuko njiani
Uko sahihi mkuu. Kwa hilo amejipambanua sana. Kwake ni Neno tu na hakuna longolongo wala hizi drama tunazoziona kwa hawa manabii na mitume wa kisasa. Kama binadamu naamini si mkamilifu na ana mapungufu mengi lakini kama ni Neno kwa kweli anafundisha.Uzuri wa Mwalimu Mwakasege ni kuwekeza kwake katika mafundisho ya imani kupitia Biblia Takatifu!
Hauzi maji ya upako, hauzi sabuni, hana muda mchafu wa kukashifu imani ya watu wengine, hana ujanja ujanja! Jambo hili linamfanya aheshimiwe na makundi yote ya dini ukilinganisha na watu kama Kakobe, Mwamposa, nk.
Hawa karismatiki hata kwenye orodha ya vyama vya kitume tanzania hawapo.Wakati anafunga semina ya Neno la Mungu wilayani Kahama Mwalimu Mwakasege amesema amealikwa na.Kanisa Katoliki jijini Dodoma kuwa mnenaji Katika semina ya Karismatiki
Mwalimu Mwakasege atahudumu kwa siku.mbili 31/05/2022 na 01/06/2022
Chanzo: Upendo tv
Kwahiyo siyo Wakatoliki?Hawa karismatiki hata kwenye orodha ya vyama vya kitume tanzania hawapo.
Eeeh!kwani Hawa ndio uamsho?walikuwaga wanafukuzwa kanisani wanasali Nje?Hawa karismatiki hata kwenye orodha ya vyama vya kitume tanzania hawapo.
Umeelewa vibayaMtu unapaswa kwanza kujiuliza upako ni nini?