Wacha kuhukumu. Mungu hapendi wanaohukumu wala watukanaji. Haimbariki Mungu. Ni vizuri kuelimishana na kama mtu haelewi usihukumu endelea kuomba Roho WA Mungu ndiye mwalimu pekee na atafanya kazi Tu Kwa wakati wake kama Wewe ulivyofikiwa.Aliwashukia waliomhitaji.
Wakatoliki hawanaga shauku ya ujazo wa roho mtakatifu.
Wakatoliki wengi wanaishi kama jeshini..
Kumsikioiza Padri.
Hawasomi neno la Mungu.
Wengi wao hata kushika biblia hawajui.
Ukristo ni shauku ya kumjua Mungu kupitia maandiko na kujisimajia kumcha Mungu wewe binafsi na sio kwenda kama likondoo.