ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,387
Mhhh kanisa katoliki au umekosea mkuu.
Kibali cha kwenda kuhubiri kimetolewa na nani.
Katoliki syo sawa na kina mwamposa,
Anyway ngoja tungoje
Mhhh kanisa katoliki au umekosea mkuu.
Kibali cha kwenda kuhubiri kimetolewa na nani.
Katoliki syo sawa na kina mwamposa,
Anyway ngoja tungoje
Yaani hao waliompa mwaliko watashushiwa ban na kanisa katoliki. Hawataamini macho na masikio yao. Yetu macho
Hicho kitu hakipo. Kama miaka mitatu iliyopita, Fr Karugendo (PhD) wa RC aliwahi kukaribiswha na Pastor Kimaro wa KKKT Kinondoni kanisa la walokole na akatoa huduma iliyokuwa inarushwa LIVE kwenye UPENDO TV muda wa wiki nzima. Ni watumishi wanaofanya mambo yao kinyemela tu ndiyo wanaopigwa ban na Kanisa la RC, na si watumishi wanaofanya kazi zao kwa weledi kama Mwalimu MwakasegeYaani hao waliompa mwaliko watashushiwa ban na kanisa katoliki. Hawataamini macho na masikio yao. Yetu macho
Kanisa lipo makini sana. Mafundisho ya mwakasege sio yote yanaendana na kanisa no matter how good they sound maskioni kwa watu.Hicho kitu hakipo. Kama miaka mitatu iliyopita, Fr Karugendo (PhD) wa RC aliwahi kukaribiswha na Pastor Kimaro wa KKKT Kinondoni kanisa la walokole na akatoa huduma iliyokuwa inarushwa LIVE kwenye UPENDO TV muda wa wiki nzima. Ni watumishi wanaofanya mambo yao kinyemela tu ndiyo wanaopigwa ban na Kanisa la RC, na si watumishi wanaofanya kazi zao kwa weledi kama Mwalimu Mwakasege
Yaaan huyu mzee amejitahid kumtumikia Mungu kwa kias cha juu sana. Kuna masomo huwa anafundisha usipo msihi Mungu afungue ufahamu wa kiroho unaweza kujikuta siku zote za mkutano umeenda kutembea tu ili umuone na kumsikia 😂😅Kwa somo alilofundisha Kahama wiki iliyopita, alikuwa ameingia ndani muno; kwa watu ambao bado ni wachanga kiroho kama nilivyo mimi hapa ilikuwa ni ngumu kuweza kumeza sawia kile alichokuwa anaongea.
Imagine alipokuwa anasema kuwa mtu anapokuwa ana upako wa wito wa kumtumikia Mungu; halafu anaingia kwenye utumishi wa Mungu na kuendelea kutumia upako huo huo wa wito, wakati kumbe upako wa wito ni upako wa mara moja tu kwa ajili ya kumuingiza mtu huyo kwenye huduma; halafu mtu huyo akishaingia kwenye huduma, anahitaji tena upako mwingine wa kumbeba kwenye mchakato mzima wa utumishi wake
Sasa hapa unaweza kuona namna madini haya yalivyokuwa magumu kumeza kwa muumini wa kawaida kama mimi. Madini kama haya yaliwafaa sana wale ambao tayari ni watumishi wa Mungu, au wale ambao wanajiandaa kwa ajili ya utumishi wa Mungu
Huyu mtumishi kwa kweli ameshatembea na Mungu katika namna ambayo asipoangalia, atakuwa anaingia kwenye darasa la wanafunzi wa darasa la saba halafu anaanza kufundisha integration ambazo wanatakiwa kufundishwa wanafunzi wa chuo kikuu. Mimi kwa upande wangu sina kabisa tatizo na hilo na kwa vyovyote atakavyofanya mimi nitajitahidi kumsikiliza na kuchukua kile nitakachoweza kuchukua
Baadhi ya walutheri au wote..nipe data mkuu.WALUTHERANI WALIMPIGA VITA HUYU MWAKASEGE WAKACHEMSHA IKABIDI WAWE WAPOLE TU.
AKAANZISHA MINISTRY NDANI YA KANISA NA ANAWAONGOZA HADI SALA YA TOBA WACHUNGAJI WAKILUTHERI WASIOOKOKA.
YAJAYO YANAFURAHISHA.
Ni kweli. Kumbuka pia kuwa mafundisho kutoendana na Kanisa haimaanishi kuwa hayako sahihi, bali yanakuwa possibly hayaendani na Dini husika tuKanisa lipo makini sana. Mafundisho ya mwakasege sio yote yanaendana na kanisa no matter how good they sound maskioni kwa watu.
Inaonekana Imekuuma sana eeh...vumilia tuuKanisa lipo makini sana. Mafundisho ya mwakasege sio yote yanaendana na kanisa no matter how good they sound maskioni kwa watu.
Imenishangaza, ni ujinga tu. Yani ana nini kipya cha kulifundisha kanisa kongwe kupita yote, kanisa halisi la Kristu? Wakarismatiki ni watu wa ajabu sana. Wanaiga mambo ya kiprotestanti badala ya wao kuwafunza waprotestanti. Mi huwa nashangaa kwanini wasiende zao huko kwa walokole wakafanye hayo mambo yao kama walokole maana ndio inspiration yao.Inapendeza
Inaonekana Una Nyongo sana mkuu ila ndyo hivyo..Maaskofu wamekubali na walikuwepo..Jana ilikuwa Day 1 na leo Shughuli inaendelea...Imenishangaza, ni ujinga tu. Yani ana nini kipya cha kulifundisha kanisa kongwe kupita yote, kanisa halisi la Kristu? Wakarismatiki ni watu wa ajabu sana. Wanaiga mambo ya kiprotestanti badala ya wao kuwafunza waprotestanti. Mi huwa nashangaa kwanini wasiende zao huko kwa walokole wakafanye hayo mambo yao kama walokole maana ndio inspiration yao.
AminaInaonekana Una Nyongo sana mkuu ila ndyo hivyo..Maaskofu wamekubali na walikuwepo..Jana ilikuwa Day 1 na leo Shughuli inaendelea...
Kama Maaskofu wamekaa chini na kutafakari na kuona inafaa wewe ni nani hata upinge?
Ila unapaswa kufahamu hakuna kanisa lililo na kila kitu Duniani...wote tunategemeana.
Picha za Jana.......↓↓↓↓View attachment 2246753View attachment 2246754View attachment 2246755View attachment 2246756View attachment 2246757View attachment 2246758View attachment 2246759View attachment 2246760
Maaskofu gani we mjinga?Inaonekana Una Nyongo sana mkuu ila ndyo hivyo..Maaskofu wamekubali na walikuwepo..Jana ilikuwa Day 1 na leo Shughuli inaendelea...
Kama Maaskofu wamekaa chini na kutafakari na kuona inafaa wewe ni nani hata upinge?
Ila unapaswa kufahamu hakuna kanisa lililo na kila kitu Duniani...wote tunategemeana.
Picha za Jana.......↓↓↓↓View attachment 2246753View attachment 2246754View attachment 2246755View attachment 2246756View attachment 2246757View attachment 2246758View attachment 2246759View attachment 2246760
Bibilia wametengeneza wao alafu tena hawaijui? KitukoAliwashukia waliomhitaji.
Wakatoliki hawanaga shauku ya ujazo wa roho mtakatifu.
Wakatoliki wengi wanaishi kama jeshini..
Kumsikioiza Padri.
Hawasomi neno la Mungu.
Wengi wao hata kushika biblia hawajui.
Ukristo ni shauku ya kumjua Mungu kupitia maandiko na kujisimajia kumcha Mungu wewe binafsi na sio kwenda kama likondoo.
Unahisi wa Rombo walihisishwa kuiandika?Bibilia wametengeneza wao alafu tena hawaijui? Kituko
Rombo inatokea wapi hapo? Jinga. Katoliki ndio wenye bibilia. Unadhani kukariri mistari ndio bibilia kuijua we juha Kalulu. Watu wanajua historia ya kila mwandishi, mazingira, tafsiri na nyakati ya kila kitabu, misa yenyewe ni very biblical. Yani sijui mnakipi Yani cha kutufundisha.Unahisi wa Rombo walihisishwa kuiandika?