Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

Watu wanaoenda kwa mwakasege na Kwa mwamposa ni watu wawili tofauti kama maji na mafuta....mwamposa wengi ni waswahili wako desperate na maisha wanataka miujiza ...na wanaokuja Kwa mwakasege wengi ni kula neno ingawa pia Kuna maombezi lakini maombezi yake si sawa n mwamposa...elewa mwakasege huko nyuma amefanya mikutano maeneo mengi kama jangwani na Biafra etc ila kwasasa hivo viwanja ni kama havitumiki Tena kwa shughuli zozote...Kawe ni sehemu nzuri na centre nzuri Sana .
 
Wote ni. Mwa
 
Achana na mambo usiyoyajua. Mwakasege ni mwalimu, Mwamposa ni mtume, huduma mbili tofauti.

Wingi wa watu huletwa na Roho Mtakatifu kutokana na anavyotaka kuwahudumia
Ww pia hujui kitu, wote wachumia tumbo, wanakula sadaka za watu kupitia jina la Yesu, siku Yesu akirudi anaanza na Mwamposa na Mwakasege kuwapeleka motoni kabisa jehanam, sbb wanatafuta hela usiku na mchana kwa kutumia jina la Yesu, wakati Yesu hakufanya hivyo, huko ni kufanya biashara kwa jina la Yesu.

Yesu hakufanya biashara za kukusanya sadaka, yaani watu wajinga wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Kumbe lengo lao ni pesa? Shetani yuko kazini!
 
Hapo binafsi naelewa kazi ya Mwamposa ambae ni mwalimu na mafundisho yake kama kijana ukiyafuata lazima utoboe maisha,
ila Mwamposa wakuu.. [emoji23][emoji23][emoji23] Hapana mtakuja kugundua mlipoteza mafungu yenu ya kumi bure when is too late mimi nipo hapa
 

Huwezi kumlinganisha mwakasege na mwamposa. Mwakasage ana miaka karibia 38 kwenye huduma. Sio wa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…