Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Lakin kwenye venue moja..! Na lutheran wako nyuma yake. Kama kawaida.Hamna ushindani kati ya hao wawili kwani wana huduma mbili tofauti. Yaani kama goal keeper agombanie namba na centre forward.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakin kwenye venue moja..! Na lutheran wako nyuma yake. Kama kawaida.Hamna ushindani kati ya hao wawili kwani wana huduma mbili tofauti. Yaani kama goal keeper agombanie namba na centre forward.
Mtume ana miliki hotel na vimada?! Nyie walokole ni wajinga na wapuuzi sana.Achana na mambo usiyoyajua. Mwakasege ni mwalimu, Mwamposa ni mtume, huduma mbili tofauti.
Wingi wa watu huletwa na Roho Mtakatifu kutokana na anavyotaka kuwahudumia
Prove it little boyMtume ana miliki hotel na vimada?! Nyie walokole ni wajinga na wapuuzi sana.
Ukikua utaelewa...mtume anauza maji lakini yanapitia TBS ujinga mzigo sana.Prove it little boy
Nabii anauza nini? Kanisa katoliki linauza nini?Ukikua utaelewa...mtume anauza maji lakini yanapitia TBS ujinga mzigo sana.
Hukushtuka muandiko ni wa lipopomaHuo ushindani na mwamposa kaanza lini? Mwakasege wa zamani sana...
Wote ni. MwaHuko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho.
Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana Dar es Salaam tena wa Kawe aliko lakini nawe kila ukija Kufanya Mahubiri yako Mkoani Dar es Salaam unangangania kuwa ni Kawe ( Tanganyika Packers ) tu.
Hivi Mwalimu Mwakasege kwani ukiwa unafanya Tamasha lako ( Mahubiri yako ) maeneo mengine ya Dar es Salaam kama Viwanja vya Mwembe Yanga hutoweza kupata Watu wanaokuamini?
Haya ona sasa umepanga nawe Kuanza Tamasha lako ( Mahubiri yako ) Leo Tanganyika Packers ( kama sijakosea ) na Mtume Mwamposa baada ya kuona utapiga Hela na Yeye kwa Makusudi ameweka Tamasha la Wanawake ambao ndiyo Mtaji wake na Jeshi Kubwa Kanisani Kwake hivyo kusababisha ukimbiwe na Waumini wako wengi waliopanga Kuhudhuria ( Kuja ) Kwako leo.
Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri japo ni Mwanafunzi wako pia ) anajua mno Kucheza na Akili zako na anahakikisha ukija tu Mkoani Dar es Salaam kufanya Tamasha lako basi nae pia Wiki hiyo hiyo atafululiza na Matamasha ili mradi tu mgawane Waumini na usipate Kiwango cha Pesa ( Sadaka ) ulichokilenga kama siyo Kukikusudia.
Ukishauriwa hutaki Kusikia. Leo kama utapata Sadaka nyingi ni Shilingi Elfu Arobaini na Tano na Mia Tano Hamsini ( Tsh 45,550/= ) tu wakati Mwenzako Mtume Mwamposa kwa Nyomi la leo najua akikusanya Sadaka zote hakosi Shilingi Milioni Tano ( Tsh 5,000,000/= ) mpaka Milioni Kumi ( Tsh 10,000,000/= )
Labda baada ya huu Uzi wangu Utabadilika.
Ww pia hujui kitu, wote wachumia tumbo, wanakula sadaka za watu kupitia jina la Yesu, siku Yesu akirudi anaanza na Mwamposa na Mwakasege kuwapeleka motoni kabisa jehanam, sbb wanatafuta hela usiku na mchana kwa kutumia jina la Yesu, wakati Yesu hakufanya hivyo, huko ni kufanya biashara kwa jina la Yesu.Achana na mambo usiyoyajua. Mwakasege ni mwalimu, Mwamposa ni mtume, huduma mbili tofauti.
Wingi wa watu huletwa na Roho Mtakatifu kutokana na anavyotaka kuwahudumia
Kumbe lengo lao ni pesa? Shetani yuko kazini!Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho.
Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana Dar es Salaam tena wa Kawe aliko lakini nawe kila ukija Kufanya Mahubiri yako Mkoani Dar es Salaam unangangania kuwa ni Kawe ( Tanganyika Packers ) tu.
Hivi Mwalimu Mwakasege kwani ukiwa unafanya Tamasha lako ( Mahubiri yako ) maeneo mengine ya Dar es Salaam kama Viwanja vya Mwembe Yanga hutoweza kupata Watu wanaokuamini?
Haya ona sasa umepanga nawe Kuanza Tamasha lako ( Mahubiri yako ) Leo Tanganyika Packers ( kama sijakosea ) na Mtume Mwamposa baada ya kuona utapiga Hela na Yeye kwa Makusudi ameweka Tamasha la Wanawake ambao ndiyo Mtaji wake na Jeshi Kubwa Kanisani Kwake hivyo kusababisha ukimbiwe na Waumini wako wengi waliopanga Kuhudhuria ( Kuja ) Kwako leo.
Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri japo ni Mwanafunzi wako pia ) anajua mno Kucheza na Akili zako na anahakikisha ukija tu Mkoani Dar es Salaam kufanya Tamasha lako basi nae pia Wiki hiyo hiyo atafululiza na Matamasha ili mradi tu mgawane Waumini na usipate Kiwango cha Pesa ( Sadaka ) ulichokilenga kama siyo Kukikusudia.
Ukishauriwa hutaki Kusikia. Leo kama utapata Sadaka nyingi ni Shilingi Elfu Arobaini na Tano na Mia Tano Hamsini ( Tsh 45,550/= ) tu wakati Mwenzako Mtume Mwamposa kwa Nyomi la leo najua akikusanya Sadaka zote hakosi Shilingi Milioni Tano ( Tsh 5,000,000/= ) mpaka Milioni Kumi ( Tsh 10,000,000/= )
Labda baada ya huu Uzi wangu Utabadilika.
huyu ndie mungu wa mwanposa na mwakasege huyu ndie alie watumaHivi mtume kwa wakristo anatambuliwaje???
Hapo binafsi naelewa kazi ya Mwamposa ambae ni mwalimu na mafundisho yake kama kijana ukiyafuata lazima utoboe maisha,Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho.
Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana Dar es Salaam tena wa Kawe aliko lakini nawe kila ukija Kufanya Mahubiri yako Mkoani Dar es Salaam unangangania kuwa ni Kawe ( Tanganyika Packers ) tu.
Hivi Mwalimu Mwakasege kwani ukiwa unafanya Tamasha lako ( Mahubiri yako ) maeneo mengine ya Dar es Salaam kama Viwanja vya Mwembe Yanga hutoweza kupata Watu wanaokuamini?
Haya ona sasa umepanga nawe Kuanza Tamasha lako ( Mahubiri yako ) Leo Tanganyika Packers ( kama sijakosea ) na Mtume Mwamposa baada ya kuona utapiga Hela na Yeye kwa Makusudi ameweka Tamasha la Wanawake ambao ndiyo Mtaji wake na Jeshi Kubwa Kanisani Kwake hivyo kusababisha ukimbiwe na Waumini wako wengi waliopanga Kuhudhuria ( Kuja ) Kwako leo.
Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri japo ni Mwanafunzi wako pia ) anajua mno Kucheza na Akili zako na anahakikisha ukija tu Mkoani Dar es Salaam kufanya Tamasha lako basi nae pia Wiki hiyo hiyo atafululiza na Matamasha ili mradi tu mgawane Waumini na usipate Kiwango cha Pesa ( Sadaka ) ulichokilenga kama siyo Kukikusudia.
Ukishauriwa hutaki Kusikia. Leo kama utapata Sadaka nyingi ni Shilingi Elfu Arobaini na Tano na Mia Tano Hamsini ( Tsh 45,550/= ) tu wakati Mwenzako Mtume Mwamposa kwa Nyomi la leo najua akikusanya Sadaka zote hakosi Shilingi Milioni Tano ( Tsh 5,000,000/= ) mpaka Milioni Kumi ( Tsh 10,000,000/= )
Labda baada ya huu Uzi wangu Utabadilika.
Tambua maana ya mtume.kwanza ndio ulinganishe na kwenye dini inatumikajeHivi mtume kwa wakristo anatambuliwaje???
Kwani mwalimu anatambuliwaje?
huyu ndie mungu wa mwanposa na mwakasege huyu ndie alie watumaView attachment 2511112
wale wale walio kunywa uji wa mgonjwaView attachment 2510794
Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho.
Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana Dar es Salaam tena wa Kawe aliko lakini nawe kila ukija Kufanya Mahubiri yako Mkoani Dar es Salaam unangangania kuwa ni Kawe ( Tanganyika Packers ) tu.
Hivi Mwalimu Mwakasege kwani ukiwa unafanya Tamasha lako ( Mahubiri yako ) maeneo mengine ya Dar es Salaam kama Viwanja vya Mwembe Yanga hutoweza kupata Watu wanaokuamini?
Haya ona sasa umepanga nawe Kuanza Tamasha lako ( Mahubiri yako ) Leo Tanganyika Packers ( kama sijakosea ) na Mtume Mwamposa baada ya kuona utapiga Hela na Yeye kwa Makusudi ameweka Tamasha la Wanawake ambao ndiyo Mtaji wake na Jeshi Kubwa Kanisani Kwake hivyo kusababisha ukimbiwe na Waumini wako wengi waliopanga Kuhudhuria ( Kuja ) Kwako leo.
Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri japo ni Mwanafunzi wako pia ) anajua mno Kucheza na Akili zako na anahakikisha ukija tu Mkoani Dar es Salaam kufanya Tamasha lako basi nae pia Wiki hiyo hiyo atafululiza na Matamasha ili mradi tu mgawane Waumini na usipate Kiwango cha Pesa ( Sadaka ) ulichokilenga kama siyo Kukikusudia.
Ukishauriwa hutaki Kusikia. Leo kama utapata Sadaka nyingi ni Shilingi Elfu Arobaini na Tano na Mia Tano Hamsini ( Tsh 45,550/= ) tu wakati Mwenzako Mtume Mwamposa kwa Nyomi la leo najua akikusanya Sadaka zote hakosi Shilingi Milioni Tano ( Tsh 5,000,000/= ) mpaka Milioni Kumi ( Tsh 10,000,000/= )
Labda baada ya huu Uzi wangu Utabadilika.
Ila una ID nyingi sana.
Zamani tulikuwa na spana tunaita spana Malaya Ina matundu Kila sehemu.