Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi tuangalie uwezo wa mtu kuongoza au kabila lake???Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano.
Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita kwa sababu madhara yaliyotokana na hilo bado yapo na yanaendelea kuitesa Serikali ya awamu ya sita, nadhani wenye uelewa mzuri wameelewa.
Logout.