Mwalimu Nyerere na Dkt. Magufuli ndio wanaonekana marais bora, ila ndio marais wabovu kuliko wote

Boss hakuna la maana uliloandika. Upuuzi mtupu.

Kumbuka baada tu ya JPM kuingia madarakani ndo ukawa mwisho wa watu kuajiriwa. Ajira zinatolewa chache kwanza baada ya miaka kadhaa.

Kama pia hukujua, basi jua kwamba kuna watu kibao waliokua na utajiri wa halali waliporwa mali zao ndani ya uongozi wa huyu jamaa.

Akawapa vijana wajinga jinga madaraka na uchafu wao akajifanya hauoni. Leo unatuandikia huo utopolo hapo. Rubish
 
Tokea Magufuli afe sijawahi ona Mtu akijitokeza kuwa nilinyanganywa ela zangu,labda Wachaga waliomsingizia Sabaya,nawe inaonekana ni mchanga maana Wachaga ndio waliongoza chuki kwa Magufuli, maana bila madili hao watu hawawezi ishi,na magufuli alikuwa ana uruma kwa watu wamadili.Kasikazini walimchukia sana Magufuli
 
Mtazamo hasi kwa mtoa hoja,ubovu wao uko wapi?
 
Yaani wewe ni mpumbavu katika wapumbavu,na katika wapumbavu kumi basi wewe unaongoza,ngoja nikuambie hakuna alama nzuri aliyoacha Magufuri,ila ameacha matatizo lukuki ambayo kuyatibu mpaka watu wamwage damu,ili waheshimiane la sivyo mwenye nacho ataendelea kuwa nacho na asiye nacho ataendelea kuwa lia lia mpaka mwisho wa dunia.
 
Uchumi wa mazezezeta yasiyojielewa,Taifa lilikuwa linaporomoka kwa speed ya 4g halafu anakuja mtu eti chuma,hicho chuma kipo wapi?
 
Nakuunga mkono
 
Mkuu huu ni mtszamo wsko, ila wengine tuna kitu tunachoamini katika philosophy zao. Kwangu mimi magufuli ndo raiz aliyetawala nikiwa na akili zangu timamu. Nyerere nliuona utawala wake ila wakati anajiondoa nlikuwa bado kuelewa mambo makubwa.japo nlikuwa sio mtoto sana.
Binafsi katika tawala zote zilizopita anzia mkapa nlikuwa na akili zangu kabisa japo kura nlianza kupiga kwa mkwere.
Kati ya wote kwangu hero wa nchi hii ni jpm hata unichinje nitakwambia kata kichwa ila jamaa alikuwa mkombozi wa africa nzima kifikra. Fikra zake zilikuwa juu kuliko hata za wazungu
 
Mungu
Akusamehe, hujielewi hata kidogo. Tafuta tofauti ya kiongozi mtaifa na kiongozi mbinafsi.
 
Mtu anayeweza kulinganisha JPM na MDEBWEDO wa saa hizi, huyo anafaa kupelekwa haraka Mirembe.

Mimi nimekubali kwamba, JPM alikuwa CHUMA kweli kwe.
Mimi nimewahi kuishi maeneo ya Makambako miaka ya 2013 hadi 2017.
Wakati ule wa miaka ya 2013 hadi 2015( Wakati wa utawala wa JK), Makambako nzima ilijaa kundi la WAPIGANONDO. Ilikuwa ukichelewa kidogo tu kurudi nyumbani jioni, unapigwa Nondo.

Lakini alipoingia tu JPM, 2015 hadi 2020, WAPIGANONDO, VIBAKA, WATEKAJI wa MAGARI NA WAPORAJI kwenye maduka wote walitoweka kwa speed isiyo ya kawaida. Watu wa Makambako waliishi kwa furaha na kwa Uhuru wote.
Lakini alipotoweka tu JPM, mauaza uza yote yanarudi kwa kasi ya Kimbunga.
Kama kuna mtu anabisha namtuma aende Makambako akaeaulize watu wa kule ya haya niyasemayo.

Kwa kifupi, JPM alikuwa mkombozi wa kweli wa Watanzania.
RIP, OUR BELOVED FATHER, JPM.
 
Yani watanzania kama mafala. Sasa kukamata wauza madawa ya kulevya na wahujumu uchumi ni kuchukia matajiri. Hao watu wafanye hayo mambo usa uone kama hawajaozea jela
Watanzania wengi walizoea maisha ya hovyo ya deals na connection za kukwepa kodi, magendo, mtu anafanya ujinga akijua ana bamdogo oysterbay police akizingua tu atamtumia kusolve kesi, anabeba magendo toka mkoa mmoja kwenda mwengine sababu ana link ya kumfikia IGP. Hakuna polisi njiani atamgusa. Ni simu moja tu mtu anapoteza kibarua. Huu ndio ulikuwa mfumo wa maisha na mtu wa deal hakosi hela mda wowote kwahio rushwa inatembea mwanzo mwisho. Mtu akishauza gunia za bangi zake anatembeza mlungula kwa IGP na RPC wa mkoa anaotoka biashara inaenda bila kukwama.

Mbaya zaidi hii michezo ilikuwa na level za kutisha maana watu wote wa karibu na mkuu wa kaya wanaishi kwa mtindo huu, bandarini mizigo inaingia ya wanyonge inachajiwa kodi ila ya affiliates wa mshua wao wana exemption. Kila wakati inapigwa simu tu mtu anatoa 50% ingine inayobaki ndio ntolee. Ikafikia wakati Home Shopping Center ndio dealer wa imports ukiipitishia mzigo kwake kodi unachangia kidogo tofauti na ukiingiza kama mtu binafsi.

Madawa ndio ilikuwa yanatembea balaa humu mgao ulikuwa unamfikia mwamba direct. Hela ilikuwa ya kuzidi ila 50% ya hela yote kwenye mzunguko ni hela chafu. Kila mtu ana hela yani mtu anaweza akaamka hana hata 100 ila akienda kushinda kijiweni tu inaweza ikaita simu moja watu wakaishia kulala bar! Furaha ya watu wengi mjini ilikuwa juu maana wengi waliweza afford milo ya siku bila shida maisha yalikuwa expensive ila maumivu yalikuwa hayasikii sababu ya hela ni rahisi kuipata. Wachache sana aalikuwa wanatubu ambao connection hawana. Waliokuwa na mitaji wanazungusha hela walifanikiwa kuzikusanya kwa wingi sana ghafla maana hela chafu ilikuwa imetapakaa mtaani. Wasio na mitaji walikuwa wanatubu tu kwa jeuri ya wenye hela.

Watumishi mishahara inagaiwa japo kwa kuchelewa ila per diem mlima watu wanajiandikia masafari tu, wengine hawaji kabisa kazini maybe week mbili za kwanza ya tatu na nne haji. Maboss ndio wanakuja kuchungulia ofisini na kutoka. Ni safari mwanzo mwisho. Wenye nafasi kama wahasibu na waratibu mipango, maafisa manunuzi nako ni shangwe tu. Unaagiza misumari ya elfu 5 boksi, unaandikia elfu 20 boksi. Hamna mtu anamuda wa kufuatilia. Hela ikitoka unagawana na boss zako wanakula 10% maisha yanaenda.

In a blink of an eye akaja mtu ambaye hakuwa mfuasi wa aina hii ya mfumo anavuruga connections zote. Kuanzia wa juu wa katikati na wa chini. Kunakuwa hamna cordination wala harmony kisha anaweka mfumo wa electronic payments... Njaa inatawala ofisini vibaya mno maana ulikuwa unaishi maisha ya mtu wa kipato cha 10M kwa mwezi wakati unachopokea hasa ni 1.2M lazma msongo wa mawazo ukupate. Watoto wako shule expensive ghafla upepo ume change. Mke ashazoea maisha ya kistaa sana kushinda masaki kuponda raha mara paap hela za kuchezea hamna. Boss safari wala semina hamna anaishi kama dubu, safari za UK na US zimekata, za mkoani hakuna anatakiwa aishi kwa 4.5M wakati alizoea 20M per month lifestyle. Hivi kwa hali kama hii Magufuli utaacha kumchukia kweli? Mfanyabiashara anatakiwa afanye clearance ya mizigo yake individually na kulipa tozo zote za bandari na kodi stahiki. Kama mzigo wa million 100 alikuwa anaulipia million 1 tu bandari sasa inatakiwa aulipie 7M kwa haki je hataanza kuhaha na kumaindi raisi? Mianya mingi ya hela chafu ilifungwa kazi ikawa kumtukana mzee wa watu tu mitandaoni. Watanzania hatunaga shukurani kabisa sasa awamu hii fisi wa chama kafunguliwa tena kuja kutula tukiwa wazima kupitia tozo ambazo hazijulikani ni bei gani wanakusanya na zinatumika vipi.
 
Ni okay
 
kwanza kabisa nianze kwa kusema hakuna siasa zinazoua nchi kimaendeleo kama siasa za kujaribu kunufaisha wanyonge na kulazimisha usawa wa kiuchumi. Ila bahati mbaya kwa Africa, 'marais wa waonyonge' ndio wanaonekana ndio sahihi
Usilazimishe kukosa uelewa wako juu ya jambo iwe ndiyo ukweli unaotaka wengine nao wauelewe kama unavyodhani wewe unauelewa.

Kichwa cha mada yako kinaonyesha wazi huna ulijualo. Unachanganya tu mambo, kama ilivyo kawaida ya matokeo ya elimu ya siku hizi.
 
Weka andiko la PhD la huyo Dokta Magufuli
 
Maguful n nyerere ni viongoz wazur kwanz wanasifa kuu ya kiongoz ambyo ni ujasiri,unpokua kiongoz Kuna wengn wankuj kukujrb il wakuarbie mfum wako Lin ukiw n msimamo wenyew wankua mbl n we,tukae tukijua kil jmbo linabarak kutk kwa mung nyerer mung alimjalia kuongz Tanzania kwa kpnd kil ili kuikmboa inch kwa wakolon n kuiwk hurt alfnkiw n magufli amkj kpnd ambch inch ipo kweny depression ni Zaid ya crisis amefany yk n ameionyesh mxmamo wake ktk kz,hat we mwanaum ni kiongz ktk fmlia yko uspokua n misimamo ktk kuendsh famlia hata watt wako mke wako watkuchzea n wataharbikiwa,kw ufup hawa watu Wana mazuri meng japo hap dunian viumb wanpnd utend mazur tu siku ukitnda baya litafuta mazur yako yooote uliyoyatenda,hvyo ndug zang tuvute pumz dakk mja kuwaombea hawa watanguliz nyerere n maguful il mung awapumzshe Mahal pema peponi,Aamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…