Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Wa Mbowe anasoma kama hapo?Sorry mtoto w mwigulu anasoma shule kama hii?
Get well soon 🙏.
All the best
😹😹 heeeee kwahiyo watoto 100 inabidi wazazi mia wapewe taarifa kwanza, acha basi.....Mwalimu kolo, mtoto wangu kama kakosea kabla ya adhabu nipewe taarifa kwanza
Eeh ili nione kama kweli adhabu apewayo inastahili.😹😹 heeeee kwahiyo watoto 100 inabidi wazazi mia wapewe taarifa kwanza, acha basi.....
Hiyo haiwezekani sasa wazazi wangapi mtataarifiwa? Labda asome zile shule darasa lina wanafunzi 20 tu nazo hazinaga adhabu za kipuuzi kama hiziEeh ili nione kama kweli adhabu apewayo inastahili.
Jenga shule mkuuEeh ili nione kama kweli adhabu apewayo inastahili.
Taratibu dada chumviKuna haja ya kuwa na mafunzo endelevu kuhusu STRESS MANAGEMENT kwa walimu.
Walimu wenye stress ndio zao hizi, pmbavuu sana.
Kuna shule za Seminari nazo ni mwendo wa vipigo na mateso kwa wanafunzi kwa vigezo vya kusaka div one pekee.Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule.
Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu sasa leo wakiwa wamechelewa baada ya hapo mwalimu huyo akawashushia kipigo kizito wanafunzi hao.
Soma Pia: Mwalimu adaiwa kumpiga ngumi mwanafunzi na kumng'oa jino, eti Kisha kapata alama 29 za Hisabati
Mkuu kama una details zaidi za shule lilipotokea tukio hili ili kwa pamoja tupaze sauti watoto wapate haki zao.Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule.
Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu sasa leo wakiwa wamechelewa baada ya hapo mwalimu huyo akawashushia kipigo kizito wanafunzi hao.
Soma Pia: Mwalimu adaiwa kumpiga ngumi mwanafunzi na kumng'oa jino, eti Kisha kapata alama 29 za Hisabati
Huo ndio ukweli, akili ikiwa katika utimamu wake hauwezi kumuadhibu mtoto kwa kiasi hiki, huu ni UKATILI KWA WATOTO haifai.Taratibu dada chumvi
Kweli kabisa.Kuna haja gani kumpiga mtoto wa mtu kwakuwa tu amechelewa kufika shule au jana yake hakuja shule? Wewe mwalimu kazi yako ni kufundisha tu hayo mambo mengine hayakuhusu sanasana unaweza kumuita mzazi wake na kumueleza tatizo la mwanawe ili kama kumpiga ampige yeye mwenyewe.
Ningekuwa mwalimu haya matatizo ya kujitakia ningeyaepuka kabisa ningeacha kujitia kiherehere kwa kujifanya nampenda sana mwanafunzi wakati yeye mwenyewe hana mpango na elimu.