Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule.

Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu sasa leo wakiwa wamechelewa baada ya hapo mwalimu huyo akawashushia kipigo kizito wanafunzi hao.

Soma Pia: Mwalimu adaiwa kumpiga ngumi mwanafunzi na kumng'oa jino, eti Kisha kapata alama 29 za Hisabati
 
Kuna haja gani kumpiga mtoto wa mtu kwakuwa tu amechelewa kufika shule au jana yake hakuja shule? Wewe mwalimu kazi yako ni kufundisha tu hayo mambo mengine hayakuhusu sanasana unaweza kumuita mzazi wake na kumueleza tatizo la mwanawe ili kama kumpiga ampige yeye mwenyewe.
Ningekuwa mwalimu haya matatizo ya kujitakia ningeyaepuka kabisa ningeacha kujitia kiherehere kwa kujifanya nampenda sana mwanafunzi wakati yeye mwenyewe hana mpango na elimu.
 
Kuna shule za Seminari nazo ni mwendo wa vipigo na mateso kwa wanafunzi kwa vigezo vya kusaka div one pekee.

Makanisa yanafunika uovu na unyama unaotendwa dhidi ya wanafunzi

CC: Dkt. Gwajima D
 
Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule.

Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu sasa leo wakiwa wamechelewa baada ya hapo mwalimu huyo akawashushia kipigo kizito wanafunzi hao.

Soma Pia: Mwalimu adaiwa kumpiga ngumi mwanafunzi na kumng'oa jino, eti Kisha kapata alama 29 za Hisabati
Mkuu kama una details zaidi za shule lilipotokea tukio hili ili kwa pamoja tupaze sauti watoto wapate haki zao.

Huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za watoto.
 
Waraka kwa walimu wenzangu, najua mnakua na dhana nzuri ya kuwasadia watoto, kupandisha ufaulu lakini believe me, siku utakapoenda jela hata mkurugenzi hatokuja kukusalimia wala kukuona, japokua unafanya kazi yake, kwa hiyo fanya harakati zako, fundisha ikifika saa 4 kaa chini ya mti vuta fegi, saa 8 uende ukalale, mwisho wa mwezi uchukue buku mbili yako,...ukisema unawasaidia utaishia kufungwa jela tu.
 
Kuna haja gani kumpiga mtoto wa mtu kwakuwa tu amechelewa kufika shule au jana yake hakuja shule? Wewe mwalimu kazi yako ni kufundisha tu hayo mambo mengine hayakuhusu sanasana unaweza kumuita mzazi wake na kumueleza tatizo la mwanawe ili kama kumpiga ampige yeye mwenyewe.
Ningekuwa mwalimu haya matatizo ya kujitakia ningeyaepuka kabisa ningeacha kujitia kiherehere kwa kujifanya nampenda sana mwanafunzi wakati yeye mwenyewe hana mpango na elimu.
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom