Mwalimu wa Kanisa ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti

Mwalimu wa Kanisa ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti

Kwani hapa tunadiscuss nini ndugu? Au kuna mtu kasifia. Nyie wenzetu mnapenda sana kulalamika bila sababu ya msingi.

Makundi yanayoongoza kulalamika
1. wanawake
2. Walemavu
3. Nyie wenzetu
Ha ha ha haaaaaaa!! "Aaaah, Ahaaaa!! Kuwa na Heshima bwana, sawa Demi ? Kuwa na Heshima bwana"

Naona namba 3 umetumia tafsida kidogo maana ungelitaja kama lilivyo Ijumaa yako ya Leo ingekua chungu!
 
Ha ha ha haaaaaaa!! "Aaaah, Ahaaaa!! Kuwa na Heshima bwana, sawa Demi ? Kuwa na Heshima bwana"

Naona namba 3 umetumia tafsida kidogo maana ungelitaja kama lilivyo Ijumaa yako ya Leo ingekua chungu!
Hawa rafiki zangu nawapenda sana ila tatizo lao ndo hilo moja hawakosi kulalamika wanaonewa. Sasa hapa hebu niambie huyo ndugu kalalamika nini? Nadhani alitamani mada imzungumzie ustaadh labda
 
Hawa rafiki zangu nawapenda sana ila tatizo lao ndo hilo moja hawakosi kulalamika wanaonewa. Sasa hapa hebu niambie huyo ndugu kalalamika nini? Nadhani alitamani mada imzungumzie ustaadh labda
Analalamika kwamba kwanini wakristo hamtiririki kwenye huu Uzi! Amesahau ni mshenzi tu haijalishi dini yake!

Upande wa pili wananongwa sana!
 
Analalamika kwamba kwanini wakristo hamtiririki kwenye huu Uzi! Amesahau ni mshenzi tu haijalishi dini yake!

Upande wa pili wananongwa sana!
Tupo hapa kumponda mwalimu wa kanisa. Na watakuja wengi tu kuchangia
 
Ingekuwa ni ustadh wa madrasa tungeona mtiririko mrefu lakini mwalimu wa kanisa kimyaaa.
Itakuwa wamewaachia na nyie mtiririke kama wao wanavyotiririka kwa ustaadh mkuu

Huyo mwl kafanya upumbavu na imempasa hiyo adhabu
 
Tuwe karibu na watoto wetu na tufatilie nyendo zao, dunia imekuwa ngumu na hao watesi wao huwa wanawatisha sana kiasi hawawezi kujieleza nyumbani...! Kama ni umri huo tuwachunguze wakati wa kuwaogesha huku tunazungumza nao kirafiki.
 
Uyu ni.kunyonga tu wanataka tuwe tunaogopa kupeleke watoto nyumba za dini kisa wajinga wachache.

ANYONGWE MPAKA KUFA.
 
Baada ya kuanza kusoma hapo juu nilishtuka kidogo baada ya kukuta jina linafanana na la baba angu mkubwa. Ila baada ya kuendelea kusoma, nimejiridhisha kuwa sio yeye. Huyo mpumbavu aende na yeye akachumishwe tembele huko segerea ili iwe fundisho kwa wengine
Angekua baba mkubwa ungalinena uliyonena?
 
Pigeni spana za kutosha uyo mbwa tutaogopa sasa kupeleka watoto Sunday school
 
Ingekuwa ni ustadh wa madrasa tungeona mtiririko mrefu lakini mwalimu wa kanisa kimyaaa.
Unaona Eeeee pangekua hapatoshi ukumbin
No!

Hata ingekuwa hili tukio limefanyika na Mtumishi wa Kanisa Katoliki hapa tungezungumza uzi upo post 170,ila ni kitu kibaya sana afanye mtu mwenye dini au asiyekuwa na dini haikubaliki kinaacha maumivu makali sana kwa familia husika.
 
Baada ya kuanza kusoma hapo juu nilishtuka kidogo baada ya kukuta jina linafanana na la baba angu mkubwa. Ila baada ya kuendelea kusoma, nimejiridhisha kuwa sio yeye. Huyo mpumbavu aende na yeye akachumishwe tembele huko segerea ili iwe fundisho kwa wengine
Angekua baba yako mkubwa ungeandika hivi hivi?
 
Hii dunia sasa tukimbilie wapi na watoto wetu, tunawapeleka kanisani tukihisi ni sehemu salama kiasi na kuna hofu ya Mungu, kumbe siyo kweli mtoto wa miaka 4 jamani😒
 
Back
Top Bottom