Mwalimu wa Kanisa ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti

Mwalimu wa Kanisa ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti

Ifike hatua wenzetu wakristo mtambue kwamba ushenzi wa mtu mmoja usiwe ndio tafsiri ya dini ya mtu kila sehemu kuna wema na wabaya sipati picha ingekuwa mwalimu wa madrasa ndie kafanya huu ushenzi saa hz uzi ungekuwa page ya 683649996059004266 kututukana waislam na mtume wetu kwa ufirauni tu wa mjinga mmoja yupo zake kibonde maji huko
 
Ingekuwa ni ustadh wa madrasa tungeona mtiririko mrefu lakini mwalimu wa kanisa kimyaaa.
Acha tu ndugu yangu wenzetu wanajisahau sana ikija topic hapa muislam kakosea matusi yanakuwa meeengi sana padri shoga sijui mchungaji anatafuna wake za watu hawachangii
 
Ila kiukweli Tuition, Sunday Schools na Madrasa hizi sehemu ni za kuziangalia kwa makini sana...
Kweli mkuu,wazazi tuwalinde watoto popote pale kadiri inavyowezekana,tusiwaamini sana walezi tunaowakabidhi.Haya yanayoripotiwa huku ni machache tu kati ya mengi yanayofanyika.
 
Hilo kanisa kanjanja ,ila pia adhabu haitoshi alitakiwa kuhasiwa ,na kuchomwa moto akiwa hai .Inauma sana kwa wazazi haya matukio yanazidi kukua hata kwa watoto wa kiume pia.
 
Kuna watu siyo wa kuwaacha karibu na watoto wa kike mfano padre yan mtu hana hata demu alaf umuachie mtt wa kike amuache?
 
Haya wale wa Mapadre waoe tu vipi hawa wabakaji wasiokatazwa kuoa? Uzinzi, ubakaji n.k ni tabia tu ambayo kwenye mazingira yoyote inaweza kuibuka.
 
Nilitegemea kabisa huu Uzi utabadilishwa kutoka MWALIMU WA SUNDAY SCHOOL KULAWITI NA KUWA MJADALA DHIDI YA MAUSTADH NA MASHEKH.
 
Watu wana ufedhuli hata shetani mwenyewe anasubiri!!
 
Mahakama ya Mkoa wa Kinondoni imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Elisha Mushi, mkazi wa Ubungo Kibangu baada ya kuthibitika kumlawiti mtoto wa miaka minne kanisani...
Ile mbinguwataingia wakina nani sasa
 
Uzi hautembei kabisa[emoji16][emoji16][emoji16].
Angekuwa mvaa kanzu fupi na makobazi ingekuwa SHIDA humu
 
Kina Mushi mpo mpaka pande hizi?haya kajipumzikie Segadansi utie Akili.
 
Safi sana, alitakiwa kunyongwa huyo
 
Back
Top Bottom