Pre GE2025 Mwamakula: Wajumbe wameambiwa kuipiga picha au kuweke alama karatasi ya kura kama ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mgalalamika sanaa mwaka huu! Wagombea wote wana nguvu sawa
 
Hii chadema ya sasa utadhani sio ile iliyokuwa inadai demokrasia kwa ccm 😂

Anyway, tupate salamu kutoka kwa mwenyekiti king'ang'anizi

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa watu wa Mungu feki ni hatari sana. Huu utakuwa ni mpango wao wenyewe. Hata hivyo, utamzuiaje mtu kupiga picha ya kura yake kama taratibu hazikatazi? Ni yale yale ya kutaka Mbowe asigombee. Sasa hivi wamehamia kwenye fitna na husda. Watu wabaya sana. Wanataka fujo zitokee kwa kisingizio cha kuwa watu wanapiga picha! Ovyo kabisa.

Amandla...
 
Mwamakula acha kulialia hapa. Wewe mwenyewe unaishi kwa sadaka za wafuasi wako halafu hapa unawashambulia wajumbe kwa kupokea posho.

Hiki ndiyo kipindi cha mavuno, wajumbe wasipopata hela hapa hawapati tena.

Kwani Lissu akipata kura si naye atapata hela? Tusipangiane namna ya kupata hela
 
Utakuta wao ndio wanaotoa posho.

Amandla...
 
What's the bigger Picture, from Mwananchi / Mlipa Kodi Vantage Point ?; Haya Maigizo hayana tija kabisa kwa mbangaizaji kitaa...


 
Mbowe kaamua kuwa kama ccm.
Wajumbe hakikisheni chama kinatoka kwenye hicho kikundi maslahi na kinarudi kwa wanachama.
Lisu pekee atakipa uhai chama chenu
 
Inaumiza sana kuona leo ndani ya CHADEMA inatajwa rushwa.
 
Yaani Chadema na yenyewe imefikia huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…