Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Pole umechelewa kugundua.Mbowe ni mafia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole umechelewa kugundua.Mbowe ni mafia.
Mgalalamika sanaa mwaka huu! Wagombea wote wana nguvu sawaWakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu
"Wajumbe wameambiwa wakipiga kura waipige picha au waweke alama katika karatasi ya kura. Ni mbinu ya kuwabana wapiga kura wampigie mgombea fulani ili uwe ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye. Msimamizi wa Uchaguzi asiruhusu kura kupigwa picha na kuwekwa yeyote alama nyuma au mbele."
Huku Lema akiweka post jana akisema hilo halitaruhusiwa kufanyika.
Numbisa wew ni mwendo wa duh aisee tuDuh aiseee
Ila siasa inahitaji unafiki wa hali ya juuHii chadema ya sasa utadhani sio ile iliyokuwa inadai demokrasia kwa ccm 😂
Anyway, tupate salamu kutoka kwa mwenyekiti king'ang'anizi
View attachment 3208517
Hawa watu wa Mungu feki ni hatari sana. Huu utakuwa ni mpango wao wenyewe. Hata hivyo, utamzuiaje mtu kupiga picha ya kura yake kama taratibu hazikatazi? Ni yale yale ya kutaka Mbowe asigombee. Sasa hivi wamehamia kwenye fitna na husda. Watu wabaya sana. Wanataka fujo zitokee kwa kisingizio cha kuwa watu wanapiga picha! Ovyo kabisa.Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu
"Wajumbe wameambiwa wakipiga kura waipige picha au waweke alama katika karatasi ya kura. Ni mbinu ya kuwabana wapiga kura wampigie mgombea fulani ili uwe ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye. Msimamizi wa Uchaguzi asiruhusu kura kupigwa picha na kuwekwa yeyote alama nyuma au mbele."
Huku Lema akiweka post jana akisema hilo halitaruhusiwa kufanyika.
Mwamakula acha kulialia hapa. Wewe mwenyewe unaishi kwa sadaka za wafuasi wako halafu hapa unawashambulia wajumbe kwa kupokea posho.Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu
"Wajumbe wameambiwa wakipiga kura waipige picha au waweke alama katika karatasi ya kura. Ni mbinu ya kuwabana wapiga kura wampigie mgombea fulani ili uwe ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye. Msimamizi wa Uchaguzi asiruhusu kura kupigwa picha na kuwekwa yeyote alama nyuma au mbele."
Huku Lema akiweka post jana akisema hilo halitaruhusiwa kufanyika.
Hawa watu waongo na wachochezi sana. Jana Lema kasema watu wao wananyimwa vitambulisho bila ushahidi wowote.Mbinu za kishamba Sana 😂
Utakuta wao ndio wanaotoa posho.Mwamakula acha kulialia hapa. Wewe mwenyewe unaishi kwa sadaka za wafuasi wako halafu hapa unawashambulia wajumbe kwa kupokea posho.
Hiki ndiyo kipindi cha mavuno, wajumbe wasipopata hela hapa hawapati tena.
Kwani Lissu akipata kura si naye atapata hela? Tusipangiane namna ya kupata hela
Mbowe kaamua kuwa kama ccm.Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu
"Wajumbe wameambiwa wakipiga kura waipige picha au waweke alama katika karatasi ya kura. Ni mbinu ya kuwabana wapiga kura wampigie mgombea fulani ili uwe ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye. Msimamizi wa Uchaguzi asiruhusu kura kupigwa picha na kuwekwa yeyote alama nyuma au mbele."
Huku Lema akiweka post jana akisema hilo halitaruhusiwa kufanyika.
Kanisa lake lipo chumbani kwa mama yakoAskofu,kanisa lako ni chadema?
Kanisa lake lipo chumbani kwa mama yako
Yaani Chadema na yenyewe imefikia huko?Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu
"Wajumbe wameambiwa wakipiga kura waipige picha au waweke alama katika karatasi ya kura. Ni mbinu ya kuwabana wapiga kura wampigie mgombea fulani ili uwe ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye. Msimamizi wa Uchaguzi asiruhusu kura kupigwa picha na kuwekwa yeyote alama nyuma au mbele."
Huku Lema akiweka post jana akisema hilo halitaruhusiwa kufanyika.
Kumbe!!Utakuta wao ndio wanaotoa posho.
Amandla...