Mwamba huyu amesema haoi mwanamke mwingine zaidi ya Bikra, je wewe?

Mwamba huyu amesema haoi mwanamke mwingine zaidi ya Bikra, je wewe?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Kumbe mabikra bado wapo?

Kwenye huu ulimwengu wa social medias na uzinzi na talaka na makasiriko

Sasa mwamba hapa anasema mwanamke mwingine haoi lazima awe Bikra Safi ( brand new) hata akiwa na Miaka 50 anatoa

 
Back
Top Bottom