Mwamba huyu amesema haoi mwanamke mwingine zaidi ya Bikra, je wewe?

Kwahyo aliowatoa bikra na hajawaoa anataka waolewe na nan 😀

Vitu vingne ni majaribu tu huyu hana tofauti na wale wadada wanaochagua wanaume ikiwa miili yao bado inalipa muda ukienda utasikia naomba yeyote kikubwa upendo [emoji23] au

Kama sio hvyo bas anataka bikra anaogopa kupigiwa mhmhmh bro kama ni hvyo usijisumbue sana maana hata umpate huyo bikra akishayajua hayo alafu ukawa kaz hufanyi vzr utapgiwa tu na hata ufanye vzr kama ana katabia kauma-lier bado utapigiwa

ukilazimisha sana utategeshewa siku unataka kuthibitisha hilo atakuja akiwa period utapigwa na kitu kizito ni ushauri tu

nikutakie utafutaji mwema kwenye hiki kizazi 😀
 
Kitu lazima iwe sealed.

Sio kukuta pango.
 
kwake yeye lazima ila sio kwangu.
 
Nakazia. Bikra sio guarantee ya ndoa imara.
 
Kwahyo aliowatoa bikra na hajawaoa anataka waolewe na nan 😀

Vitu vingne ni majaribu tu huyu hana tofauti na wale wadada wanaochagua wanaume ikiwa miili yao bado inalipa muda ukienda utasikia naomba yeyote kikubwa upendo [emoji23] au

Kama sio hvyo bas anataka bikra anaogopa kupigiwa mhmhmh bro kama ni hvyo usijisumbue sana maana hata umpate huyo bikra akishayajua hayo alafu ukawa kaz hufanyi vzr utapgiwa tu na hata ufanye vzr kama ana katabia kauma-lier bado utapigiwa

ukilazimisha sana utategeshewa siku unataka kuthibitisha hilo atakuja akiwa period utapigwa na kitu kizito ni ushauri tu

nikutakie utafutaji mwema kwenye hiki kizazi 😀
 
Ndio Nimefikaaa dadalake ngoja nisome!!
Afu naomba link ya YouTube nikajionee balaa lako miee!!
 
Mbona kama vile kuna watu wamepanic acheni ufala kila mtu anaye chaguo lake,na suala la bikira zipo bado ni juhudi zako na bahati yako.
 
Back
Top Bottom