Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Mbona kama umenuna🚶🚶🚶Sawa kupanga ni kuchagua
Msikilize ameeleza inaposaidia huenda ukapata kitu kabla hujaoabikra inasaidia nini bana🚮🚮
Mbona kama umenuna[emoji124][emoji124][emoji124]
Mbona makasiriko😂😂😂Awe hivyo tu. Hakuna kupangiana. Sisi wengine sio mabikra na tunaoa wasio mabikra wenzetu fullstop
Hayo mambo ndio unayapeeeenda ee😂😂Huo ndo ukweli sasa
SauwaNinune kisa? Mi nakubaliana na mawazo yake mawazo ya mtu yaheshimiwe
Mbona Yeye anasema lazima, au hujamskiliza?!bikra ina umuhimu wake lakini sio lazima kiivo
Uzi Wenu utakuja baadae Sana sahivi tuna deal na mabikra safiSisi wenye kigezo Cha "Cha msingi awe anapumua tu" tuna comment hapa ?
kwake yeye lazima ila sio kwangu.Mbona Yeye anasema lazima, au hujamskiliza?!
Nakazia. Bikra sio guarantee ya ndoa imara.bikra inasaidia nini bana[emoji706][emoji706]
bikra inasaidia nini bana🚮🚮