GE2025 Mwambieni aachane na Mpango wa Kuchukua Fomu! Amekataliwa, akilazimisha - aibu kuu Inamngoja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!

Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).

Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.

Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo , napata muwasha muwasha ,natekenywaa, natekenyeka Kwa Furaha tu kua TANZANIA MPYA ISIYOKUA NA WAHUNI IMEFIKA ,HAMNA WA KUIZUIA.

Narudia, TANZANIA MPYA IMEFIKAAAA, HAMNA WA KUIZUIA !!.

Kaeeni Kwa Kutulia Wakuu, Sifa na Shukrani tumrudishie Mwenyezi Mungu Kwa Kulifanikisha hili !!!.

Duh analazimishwa Urais, naye anacheka kwakupata Urais wa mseleleko , Masikini !! tumuonee hurumaa japo naye anajua Wahuni wanamtumia !!.

SASA NI HIVI, UTAKE KWA KULAZIMISHWA, HAUTAKUA RAIS , USITAKE HAUTAKUA RAIS VILEVILE .

Don't even try !!
 
Kimsingi na kiuhalisia, ukiweka kando unafiki na uchawa, utakubaliana na Ukweli mchungu Sana kwamba huyo Mtu hana kabisa mvuto wa kisiasa na pia amepoteza kabisa ushawishi. Alipaswa astaafu kwa heshima na ale Mafao yake ili kupisha Watu wengine kwenye hicho kiti
 
Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!

Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).

Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.

Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo , napata muwasha muwasha ,natekenywaa, natekenyeka Kwa Furaha tu kua TANZANIA MPYA ISIYOKUA NA WAHUNI IMEFIKA ,HAMNA WA KUIZUIA.

Narudia, TANZANIA MPYA IMEFIKAAAA, HAMNA WA KUIZUIA !!.

Kaeeni Kwa Kutulia Wakuu, Sifa na Shukrani tumrudishie Mwenyezi Mungu Kwa Kulifanikisha hili !!!.

Duh analazimishwa Urais, naye anacheka kwakupata Urais wa mseleleko , Masikini !! tumuonee hurumaa japo naye anajua Wahuni wanamtumia !!.

SASA NI HIVI, UTAKE KWA KULAZIMISHWA, HAUTAKUA RAIS , USITAKE HAUTAKUA RAIS VILEVILE .

Don't even try !!
Aisee.
 
Ndio hiki nachosema kama Polepole anachosema hakina shaka na ni kweli aungwe mkono...

Hata upinzani wamuunge mkono huyu jamaa, muda uliobaki siasa za visasi na chuki ziwekwe kando kwanza... baada ya adui kuteketezwa na kupotea tofauti za kisiasa ziendelee...
 
Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!

Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).

Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.

Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo , napata muwasha muwasha ,natekenywaa, natekenyeka Kwa Furaha tu kua TANZANIA MPYA ISIYOKUA NA WAHUNI IMEFIKA ,HAMNA WA KUIZUIA.

Narudia, TANZANIA MPYA IMEFIKAAAA, HAMNA WA KUIZUIA !!.

Kaeeni Kwa Kutulia Wakuu, Sifa na Shukrani tumrudishie Mwenyezi Mungu Kwa Kulifanikisha hili !!!.

Duh analazimishwa Urais, naye anacheka kwakupata Urais wa mseleleko , Masikini !! tumuonee hurumaa japo naye anajua Wahuni wanamtumia !!.

SASA NI HIVI, UTAKE KWA KULAZIMISHWA, HAUTAKUA RAIS , USITAKE HAUTAKUA RAIS VILEVILE .

Don't even try !!
Samia ni president till 2035 ...
 
Ili mradi tu we ni mwanaharakati uchwara, ni swala la muda tu utachanganyikiwa.
Ili mradi we ni tapeli wa kisiasa, utachanganyikiwa tu.

KEYBOARD WARRIORS, BAADA YA UCHAGUZI OCT 2025, RAIS SAMIA ATAAPA KAMA RAIS WA AWAMU YA SITA.

WAZALENDO WAZALENDO WANYOKO?
 
Back
Top Bottom