GE2025 Mwambieni aachane na Mpango wa Kuchukua Fomu! Amekataliwa, akilazimisha - aibu kuu Inamngoja

GE2025 Mwambieni aachane na Mpango wa Kuchukua Fomu! Amekataliwa, akilazimisha - aibu kuu Inamngoja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbona Nimesema tayari, Kuna mambo uamuzi wake unavutishwa Pumzi tu ila Hukumu imeshafanyika

Samia na genge lake hawana namna yoyote Ile hapa chini ya Jua ya Kuendelea kuchezea Nchi hii.

YANN MKATE TAMAA ? ni kweli na Hakika, SAMIA SIO RAIS WA TANZANIA .

Achana na hizi sarakasi za Tume kuchukua Fomu Na Mablaa blaah .


Tuko humu humu JF, Tutakutana Kupongezana
Akiapishwa ntakutag mkuu
 
Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!

Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).

Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.

Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo , napata muwasha muwasha ,natekenywaa, natekenyeka Kwa Furaha tu kua TANZANIA MPYA ISIYOKUA NA WAHUNI IMEFIKA ,HAMNA WA KUIZUIA.

Narudia, TANZANIA MPYA IMEFIKAAAA, HAMNA WA KUIZUIA !!.

Kaeeni Kwa Kutulia Wakuu, Sifa na Shukrani tumrudishie Mwenyezi Mungu Kwa Kulifanikisha hili !!!.

Duh analazimishwa Urais, naye anacheka kwakupata Urais wa mseleleko , Masikini !! tumuonee hurumaa japo naye anajua Wahuni wanamtumia !!.

SASA NI HIVI, UTAKE KWA KULAZIMISHWA, HAUTAKUA RAIS , USITAKE HAUTAKUA RAIS VILEVILE .


Don't even try !!
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom