Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Chadema hawana sifa ya kuchukua nchi labda ACTKama Mambo yataharibika sanaaaa ,,CHADEMA ITACHUKUA NCHI !.
Inategemea na Harakati za Wahuni kuanzia Kesho !!!
Chadema hawana sifa ya kuchukua nchi labda ACTKama Mambo yataharibika sanaaaa ,,CHADEMA ITACHUKUA NCHI !.
Inategemea na Harakati za Wahuni kuanzia Kesho !!!
HahahahKizembe namna hiyo waachie nchi?. Acheni kujilisha upepo.
Hawa ni beneficiaries wa status quo, hawatoibadilisha kizembe.
Unalipwa kiasi gani wewe kwa kazi hii?Kama Mambo yataharibika sanaaaa ,,CHADEMA ITACHUKUA NCHI !.
Inategemea na Harakati za Wahuni kuanzia Kesho !!!
Poleni. Mtasubiri saaanaKuna jambo hapa
Sasa mkuu! Mbona unatuweka kihoro juu juu?Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!
Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).
Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.
Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo , napata muwasha muwasha ,natekenywaa, natekenyeka Kwa Furaha tu kua TANZANIA MPYA ISIYOKUA NA WAHUNI IMEFIKA ,HAMNA WA KUIZUIA.
Narudia, TANZANIA MPYA IMEFIKAAAA, HAMNA WA KUIZUIA !!.
Kaeeni Kwa Kutulia Wakuu, Sifa na Shukrani tumrudishie Mwenyezi Mungu Kwa Kulifanikisha hili !!!.
Duh analazimishwa Urais, naye anacheka kwakupata Urais wa mseleleko , Masikini !! tumuonee hurumaa japo naye anajua Wahuni wanamtumia !!.
SASA NI HIVI, UTAKE KWA KULAZIMISHWA, HAUTAKUA RAIS , USITAKE HAUTAKUA RAIS VILEVILE .
Don't even try !!
Unawaza CHADEMA badala ya kuwaza watoto wako miaka 10 ijayo watakua katika hali gani hivi nyie watu mnawaza kwa kutumia nini?Mama anaihenyesha michadema, Hadi Raha.
Naamini waliokujibu inatosha.Samia ni president till 2035 ...
Wananchi wako tayari hata kwa ACT IchukueChadema hawana sifa ya kuchukua nchi labda ACT
Sio tuu kuchukua fomu ndio Rais huyo Hadi 2030 nyie mtaendelea kutoa press tuu na hakuna mtakachofanya.Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!
Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).
Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.
Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo , napata muwasha muwasha ,natekenywaa, natekenyeka Kwa Furaha tu kua TANZANIA MPYA ISIYOKUA NA WAHUNI IMEFIKA ,HAMNA WA KUIZUIA.
Narudia, TANZANIA MPYA IMEFIKAAAA, HAMNA WA KUIZUIA !!.
Kaeeni Kwa Kutulia Wakuu, Sifa na Shukrani tumrudishie Mwenyezi Mungu Kwa Kulifanikisha hili !!!.
Duh analazimishwa Urais, naye anacheka kwakupata Urais wa mseleleko , Masikini !! tumuonee hurumaa japo naye anajua Wahuni wanamtumia !!.
SASA NI HIVI, UTAKE KWA KULAZIMISHWA, HAUTAKUA RAIS , USITAKE HAUTAKUA RAIS VILEVILE .
Don't even try !!
Lisa, umeolewa?!!!Unawaza CHADEMA badala ya kuwaza watoto wako miaka 10 ijayo watakua katika hali gani hivi nyie watu mnawaza kwa kutumia nini?
Oh, mkuu huogopi kutukanwa na chadema?!!!!Wiki ile ulisema amekataliwa, wakuu kuna muda tukubali ukweli na kujipanga upya kutafuta hayo mabadiliko --- sio kila siku nyuzi zisizokua na impact
Huamini macho wala masikio yako sio?Kwa vichekesho kama hivi, endelea kuduatilia mada za huyu mutu
Japo mimi sinaga timu maalumu, kitu pekee cha uhakika mpaka sasa ni kwamba mimi sio ccm.Oh, mkuu huogopi kutukanwa na chadema?!!!!
Mbona Nimesema tayari, Kuna mambo uamuzi wake unavutishwa Pumzi tu ila Hukumu imeshafanyikaWiki ile ulisema amekataliwa, wakuu kuna muda tukubali ukweli na kujipanga upya kutafuta hayo mabadiliko --- sio kila siku nyuzi zisizokua na impact
Safi.Japo mimi sinaga timu maalumu, kitu pekee cha uhakika mpaka sasa ni kwamba mimi sio ccm.
Matusi ukitukanwa na mjinga hayana impact
Imani ni kua na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.We, hivi uko sawa kweli!
Mbona kama umerukwa akili vile. Tafuta kazi nyingine hii ishadoda