GE2025 Mwambieni aachane na Mpango wa Kuchukua Fomu! Amekataliwa, akilazimisha - aibu kuu Inamngoja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!

Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).

Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.

Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo , napata muwasha muwasha ,natekenywaa, natekenyeka Kwa Furaha tu kua TANZANIA MPYA ISIYOKUA NA WAHUNI IMEFIKA ,HAMNA WA KUIZUIA.

Narudia, TANZANIA MPYA IMEFIKAAAA, HAMNA WA KUIZUIA !!.

Kaeeni Kwa Kutulia Wakuu, Sifa na Shukrani tumrudishie Mwenyezi Mungu Kwa Kulifanikisha hili !!!.

Duh analazimishwa Urais, naye anacheka kwakupata Urais wa mseleleko , Masikini !! tumuonee hurumaa japo naye anajua Wahuni wanamtumia !!.

SASA NI HIVI, UTAKE KWA KULAZIMISHWA, HAUTAKUA RAIS , USITAKE HAUTAKUA RAIS VILEVILE .

Don't even try !!
Ndoto za alinacha kabusa hizi
 
Ndugu Carlos The Jackal ulituambia kutakuwa na mambo ya kutisha sana kuanzia tarehe 1 - 7 ya mwezi August. Mpk sasa hakijatokea kitu.

Sasa tutakuaminije ktk hili?
Mkuu Kuna mambo tarehe za Utekelezaji wake yanavutishwa Pumzi tu ila NDO IMEAMULIWA HIVYO NA HAMNA WA KULIBADILISHA HILI.

Mungu wa Isaka na Yakobo na Israel kaamua Kuwakomboa Watanzania bila kumwaga Damu yao.
 
Ili mradi tu we ni mwanaharakati uchwara, ni swala la muda tu utachanganyikiwa.
Ili mradi we ni tapeli wa kisiasa, utachanganyikiwa tu.

KEYBOARD WARRIORS, BAADA YA UCHAGUZI OCT 2025, RAIS SAMIA ATAAPA KAMA RAIS WA AWAMU YA SITA.

WAZALENDO WAZALENDO WANYOKO?
Koh Koh Koh !!

Thubutu
 
Mkuu Kuna mambo tarehe za Utekelezaji wake yanavutishwa Pumzi tu ila NDO IMEAMULIWA HIVYO NA HAMNA WA KULIBADILISHA HILI.

Mungu wa Isaka na Yakobo na Israel kaamua Kuwakomboa Watanzania bila kumwaga Damu yao.
Itakuwa jambo jema sana. Naendelea kufuatilia nyuzi zako kwa umakini mkubwa sana.
 
Ili mradi tu we ni mwanaharakati uchwara, ni swala la muda tu utachanganyikiwa.
Ili mradi we ni tapeli wa kisiasa, utachanganyikiwa tu.

KEYBOARD WARRIORS, BAADA YA UCHAGUZI OCT 2025, RAIS SAMIA ATAAPA KAMA RAIS WA AWAMU YA SITA.

WAZALENDO WAZALENDO WANYOKO?
Siyo awamu ya saba tena!??
 
Kama yanayosemwa na Ndg Polepole kuhusu nguvu ya wanamtandao ni ya kweli, mama hana namna yoyote ya kufanya zaidi ya kuendelea na mchakato wa Uchaguzi.
 
Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!

Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).

Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.

Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo , napata muwasha muwasha ,natekenywaa, natekenyeka Kwa Furaha tu kua TANZANIA MPYA ISIYOKUA NA WAHUNI IMEFIKA ,HAMNA WA KUIZUIA.

Narudia, TANZANIA MPYA IMEFIKAAAA, HAMNA WA KUIZUIA !!.

Kaeeni Kwa Kutulia Wakuu, Sifa na Shukrani tumrudishie Mwenyezi Mungu Kwa Kulifanikisha hili !!!.

Duh analazimishwa Urais, naye anacheka kwakupata Urais wa mseleleko , Masikini !! tumuonee hurumaa japo naye anajua Wahuni wanamtumia !!.

SASA NI HIVI, UTAKE KWA KULAZIMISHWA, HAUTAKUA RAIS , USITAKE HAUTAKUA RAIS VILEVILE .

Don't even try !!
Kila nikifiria ninapopata taarifa za Mama kuhusu kugombea,sioni akisimama kama mgombea hivi.
Naona nikubaliane na wewe.
 
Mna vitisho vya kitoto sana. Mabwana zenu tumewanyorosha mmebaki kubwabwaja
 
Kama yanayosemwa na Ndg Polepole kuhusu nguvu ya wanamtandao ni ya kweli, mama hana namna yoyote ya kufanya zaidi ya kuendelea na mchakato wa Uchaguzi.
Kwamba uwezekano wa reform haupo?
 
Ili mradi tu we ni mwanaharakati uchwara, ni swala la muda tu utachanganyikiwa.
Ili mradi we ni tapeli wa kisiasa, utachanganyikiwa tu.

KEYBOARD WARRIORS, BAADA YA UCHAGUZI OCT 2025, RAIS SAMIA ATAAPA KAMA RAIS WA AWAMU YA SITA.

WAZALENDO WAZALENDO WANYOKO?
Sio awamu ya saba?
 
Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!

Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).

Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.

Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo , napata muwasha muwasha ,natekenywaa, natekenyeka Kwa Furaha tu kua TANZANIA MPYA ISIYOKUA NA WAHUNI IMEFIKA ,HAMNA WA KUIZUIA.

Narudia, TANZANIA MPYA IMEFIKAAAA, HAMNA WA KUIZUIA !!.

Kaeeni Kwa Kutulia Wakuu, Sifa na Shukrani tumrudishie Mwenyezi Mungu Kwa Kulifanikisha hili !!!.

Duh analazimishwa Urais, naye anacheka kwakupata Urais wa mseleleko , Masikini !! tumuonee hurumaa japo naye anajua Wahuni wanamtumia !!.

SASA NI HIVI, UTAKE KWA KULAZIMISHWA, HAUTAKUA RAIS , USITAKE HAUTAKUA RAIS VILEVILE .

Don't even try !!
Kizembe namna hiyo waachie nchi?. Acheni kujilisha upepo.
Hawa ni beneficiaries wa status quo, hawatoibadilisha kizembe.
 
Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!

Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).

Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.

Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo , napata muwasha muwasha ,natekenywaa, natekenyeka Kwa Furaha tu kua TANZANIA MPYA ISIYOKUA NA WAHUNI IMEFIKA ,HAMNA WA KUIZUIA.

Narudia, TANZANIA MPYA IMEFIKAAAA, HAMNA WA KUIZUIA !!.

Kaeeni Kwa Kutulia Wakuu, Sifa na Shukrani tumrudishie Mwenyezi Mungu Kwa Kulifanikisha hili !!!.

Duh analazimishwa Urais, naye anacheka kwakupata Urais wa mseleleko , Masikini !! tumuonee hurumaa japo naye anajua Wahuni wanamtumia !!.

SASA NI HIVI, UTAKE KWA KULAZIMISHWA, HAUTAKUA RAIS , USITAKE HAUTAKUA RAIS VILEVILE .

Don't even try !!
We, hivi uko sawa kweli!
Mbona kama umerukwa akili vile. Tafuta kazi nyingine hii ishadoda
 
Back
Top Bottom