kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Makonda, zima biashara ya majenereta, walala hoi tunaotegemea umeme wa tanesco tunaumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .
Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.
Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.
Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.
Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.
Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.
Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.
Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.
MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Don't be so blind Kwa unafiki.JPM alikuwa high achieving individual? Acheni utani basi!
You really have to learn how to Face facts...JPM alikuwa high achieving individual? Acheni utani basi!
Hawa jamaa wametawaliwa na chuki plus unafiki, they are very cheap, hata wao wanajua hiloDon't be so blind Kwa unafiki.
Ni Rais gani hapa Tanzania Toka uhuru ambaye aliwah THUBUTU na kufanya makubwa Kwa ajili ya Taifa, kama alivyofanya Hayati JPM?.
1. Huna nuance. Ndiyo maana unaona ku criticize hao unaowaita high achievers kifalsafa ni chuki.Mkuu tunarudi palepale nilipoanzia kwamba "TATIZO LAKO WEWE NI KWAMBA HUJUI TATIZO LAKO" na watu woote wenye huo ugonjwa wako sensitive saaana kuona mapungufu ya wengine, yaan wapo inclined kwenye mapungufu tu badala ya achievements.
Ngoja nitumie maneno yako mwenyewe ulosema, umesemea mfano wa Ruto, ruto kafanya mazuri lkn kafanya blunders pia huko kenya wananchi wake wanateseka, lkn kwa kuwa umeji-incline kucompare mazuri ya ruto kwa mabaya ya magufuli basi hutoweza ona hilo, kwa nn usifanye comparison ya mazuri yao wote, no huwezi sababu tyr una personal animus towards magufuli, your mind is locked and unfortunately u dont know that (SABABU TATIZO LAKO NI KWAMBA HUJUI TATIZO LAKO)
Pili unasema naabudu 'achievement' no, mm sio kama ww, mm na-appreciate achievement, na nakosoa kwenye makosa. Hakuna mtu perfect duniani ww unalazimisha perfection hapa ambayo hata ww mwenyewe hauna kwa hio unaishia kuacha hate yako itawale judgement yako, na watu type yako 'you'll never make a leader zaidi ya family level(hata hapo utakua umejitahidi sana)' sababu badala ya kudeal na reality, wewe unadeal na bias zako kichwani zinazoletwa na hio hate ambayo ni unfounded.
Tatu umeongelea principles na utu, hivi kweli mtu mwenye utu anaweza tamka hivi kuhusu marehemu "his dead country bumpkin Godfather Magufuli" unless wewe ni ile type ya watu cheap ambao wanaongeaga tu mambo wasioyafanya, you gotta neither principles nor virtues chief if you dare to attack with nasty words someone who can no longer speak for himself. Zero integrity....
Umeandika mambo mengiiiiii lakini yote ni very cheap, ongea arguments zinazojisimamia, na huwezi sababu hauna integrity hata kwenye maneno yako. Na hauna integrity sababu unaacha bias zako zikutawale, bias ambazo zinazaliwa na chuki towards people who achieve big unaishia kuweka visingizio kwamba eti 'labda mazingira waliozaliwa, etc.. blah blah blah...' looks like ulipata difficult time sana kipindi unasoma sababu you couldnt stand in competitions, and that cultivated the animus you have now toward winners, wake up chief.....
Achana na hiyo mbwiga, mtu asiyeamin uwepo wa Mungu, unadhan ana nini Cha kueleza akaeleweka?.Mkuu tunarudi palepale nilipoanzia kwamba "TATIZO LAKO WEWE NI KWAMBA HUJUI TATIZO LAKO" na watu woote wenye huo ugonjwa wako sensitive saaana kuona mapungufu ya wengine, yaan wapo inclined kwenye mapungufu tu badala ya achievements.
Ngoja nitumie maneno yako mwenyewe ulosema, umesemea mfano wa Ruto, ruto kafanya mazuri lkn kafanya blunders pia huko kenya wananchi wake wanateseka, lkn kwa kuwa umeji-incline kucompare mazuri ya ruto kwa mabaya ya magufuli basi hutoweza ona hilo, kwa nn usifanye comparison ya mazuri yao wote, no huwezi sababu tyr una personal animus towards magufuli, your mind is locked and unfortunately u dont know that (SABABU TATIZO LAKO NI KWAMBA HUJUI TATIZO LAKO). Zero self-awareness.....
Pili unasema naabudu 'achievement' no, mm sio kama ww, mm na-appreciate achievement, na nakosoa kwenye makosa. Hakuna mtu perfect duniani ww unalazimisha perfection hapa ambayo hata ww mwenyewe hauna kwa hio unaishia kuacha hate yako itawale judgement yako, na watu type yako 'you'll never make a leader zaidi ya family level(hata hapo utakua umejitahidi sana)' sababu badala ya kudeal na reality, wewe unadeal na bias zako kichwani zinazoletwa na hio hate ambayo ni unfounded. Zero emotional intelligence.....
Tatu umeongelea principles na utu, hivi kweli mtu mwenye utu anaweza tamka hivi kuhusu marehemu "his dead country bumpkin Godfather Magufuli" unless wewe ni ile type ya watu cheap ambao wanaongeaga tu mambo wasioyafanya, you gotta neither principles nor virtues chief if you dare to attack with nasty words someone who can no longer speak for himself. Zero integrity....
Umeandika mambo mengiiiiii lakini yote ni very cheap, ongea arguments zinazojisimamia, na huwezi sababu hauna integrity hata kwenye maneno yako. Na hauna integrity sababu unaacha bias zako zikutawale, bias ambazo zinazaliwa na chuki towards people who achieve big unaishia kuweka visingizio kwamba eti 'labda mazingira waliozaliwa, etc.. blah blah blah...' looks like ulipata difficult time sana kipindi unasoma sababu you couldnt stand in competitions, and that cultivated the animus you have now toward winners, wake up chief.....
Haitoshi akasema Makonda ni mtu mwenye akili. Aiseee?!Dah. Mkuu unaandikaga mashudu yaani.
Unatawaliwa sana na ukabila, ukanda na eventually uduanzi
1. Makonda ni mjamaa? Unahakika?
2. Nchimbi hajulikani na hana impact, angerudishwa toka Cairo aje achukue hiyo nafasi na kuacha mamilioni ya wana ccm waliyoitarajia?
Acha ujinga.Hatuhitaji kuwagombanisha Nchimbi na Makonda, bali kuwaunganisha kwa mambo chanya kwa faida ya wananchi, chama na taifa kwa ujumla.
Checks and balances ni muhimu.
Umeandika kwa hisia na busara kubwa mno. Japo watakuja wajinga wanaokwazwa na utendaji wa Makonda kufanya ni wa Kikabila.Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .
Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.
Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.
Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.
Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.
Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.
Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.
Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.
MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Wanamuona kama nabii....!!!Ila wafuasi wa Makonda huwa mna shida sana. Akitokea mtu akakosoa kidogo kuhusu Makonda au JPM aisee mnawaka! Hivi kwenu Makonda na JPM huwa ni malaika hawakosei kabisa kabisa eeenh?
Sikujiaga kuwa kuna wasukuma mashudu kiasi hikiDah. Mkuu unaandikaga mashudu yaani.
Unatawaliwa sana na ukabila, ukanda na eventually uduanzi
1. Makonda ni mjamaa? Unahakika?
2. Nchimbi hajulikani na hana impact, angerudishwa toka Cairo aje achukue hiyo nafasi na kuacha mamilioni ya wana ccm waliyoitarajia?
😎Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .
Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.
Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.
Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.
Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.
Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.
Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.
Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.
MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Mwl. JK Nyerere aka mchonga. Hakuna tena kwa nchi hiiDon't be so blind Kwa unafiki.
Ni Rais gani hapa Tanzania Toka uhuru ambaye aliwah THUBUTU na kufanya makubwa Kwa ajili ya Taifa, kama alivyofanya Hayati JPM?.
Bashite unasemaje? Haufiki mbali!Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .