Pre GE2025 Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makonda is a good sacrificial soldier, never a leader. Na ndo maana magufuli hata hakumtetea alipofail 2020 kugombea ubunge, he's a liutenant, mtu wa ku-run errands tu. Na kazi ya ukuu wa mkoa/wilaya ndo inamfaa sababu hata nyerere alikuaga anawapa hizo nafasi major generals wastaafu.

Ndo maana JK alimtumia, JPM akamtumia, na samia anamtumia.

Huhitaji degree kuona hilo, na hauko sahihi kumkashifu hivo JPM, ni kiongozi ambae TZ ilikua inamuhitaji. Na tatizo lako wewe kiranga ni kwamba huwa haujui tatizo lako ni nini. Hebu uwe unasoma arguments zako utaona, kwa nn unawachukia sana 'high achieving individuals'? Kuna mahala niliona hata unamponda Elon Musk.
Kiranga ni moja kati ya watu wajinga wanao jua kusoma na kuandika,na tatizo lake kubwa anaendeshwa na chuki za nyoka.
 
M
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.

Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.

Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.

Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.

Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.

Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.

Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.

MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Mkuu usimdanganye Mokonda kubishana na bosi wake! 🤣 🤣 🤣
 
Uzalendo na Uadilifu wa Mwenezi ni upi ukilinganisha na Magu?

Kulinganisha Magu na Kijana ni kutukosea Watanzania.
 
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.

Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.

Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.

Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.

Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.

Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.

Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.

MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Nileteen Gwajima.......
 
the end of the start of Bashite
 
arudishe nyumba na magari ya GSM na wengineo
 
Nchimbi nilitarajia ataongea issues za Msingi na za maana, nimeshangaa na kutumia sana kuja na maneno ambayo alipaswa azingumze mtu ambaye ni very hopeless and a real commoner!

Very low IQ mbona alikuwa anasifiwa sana? Anajuanto which extent hali ya huduma kwa watu wa serikali imeshuka kiasi Gani?

Anatakiwa mtu wa ku-counterattack hii situation! Anapambanaje na bwana mdogo Makonda?

Ilikuwa na kumuita Ofisini na kumltoa mwelekeo wake! Kwanza Katibu Mkuu siyo msemaji wa Chama, yeye ni Ofisini tu msemaji ni Konda boy!

Kazingua
 
Suala la kurudishwa kwake CCM kutoka alipokuwa bado sio sababu ya kutosha Kumfanya afae, ukweli ni kwamba, wapo watu waloifaa nafasi hiyo hapa hapa Nchini .
Kinachosikitisha ni kuwa hata 'wapinzani' wanaamini kuwa CCM ndio chama kitachotawala round ijayo ndiyo maana wanaishia kubishana na kina Makonda wazee wq spinningm

Ni kama wewe unavyoamini kuwa CCM bado inafaa kuongoza ila tu sio huyo Nchimbi, bali wengine kama kina Mwigulu, Nape, Ole Sabaya, Musukuma nk
 
Kwahiyo wewe kwa akili yako finyu unaona waliomteua wamefanya hivyo ili wawe tofauti na wao?

Akili ya wapi hiyo isiyokuwa na akili?!
Siwezi kubishana na mtu mwenye akili za Nyumbu kama wewe. Maana huwa unafikiria Kinyumbunyumbu.

Kwa akili yako ya Kinyumbu hebu jaribu kuangalia nchi zilizoendelea kama kuna kuchekeana chekeana kama huku bongo.
 
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.

Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.

Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.

Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.

Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.

Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.

Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.

MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Hujui hata maana ya ujamaa na ubepari pimbi wewe. Yaani makonda aliyepora magari ya watu anawezaje kuwa mjamqq? Magufuli aliyejenga uwanja wa ndege kwao bila hata kupitishwa na bunge anawezaje kuwa mjamaa?
Toka lini mjamaa akatembelea gari la kifahari?

Hizi ni drama za ccm kama kawaida wala hakuna kipya hapo
 
Nzuri bro
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.

Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.

Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.

Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.

Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.

Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.

Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.

MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.

Hao wote ni viongozi dhaifu tu.

Watanzania msipoteze muda kuwafuata hao walevi.

Tumia muda wako kufanya shughuli zako na muhimu zaidi hapo mtaani muwe na umoja na tatueni changamoto vile mnaona inafaa.

Jiungeni mtengeneze barabara zetu mtaani wenyewe.

Hospitali zenu wenyewe.

Shule.

Viwanda.

Hakikisha hapo mtaani kuna kituo watoto wajifunze teknolojia mapema sana.

Hapo mtaani lazima kuna watu wanauwezo na wanapenda mapinduzi ya kweli ni kufahamu ni akina nani na kuongea vizuri hii nchi ipate uponyaji.

Taratibu, msishiriki kwa namna yoyote mambo yanayohusisha siasa za serikali na ccm au pimbi yeyote yule anayeleta ujuaji.

Pia msisahau hapo mtaani muwe na bunduki angalau 15.

Himizeni watu wafanye mazoezi na kula kwa afya.

Baada miaka michache hakuna pimbi au kitu kinachoitwa serikali itaweza kuwayumbisha.

Watu wanataka hali bora ya maisha na si kusikia majina ya wajinga wanaojiita viongozi.
Hii imenipendeza sana!
Hizi mbwa zinatuchezesha ngoma zao muda wote!
Tupo peke yetu!
Eti Makonda Jambazi mkuu na muuaji aliyethibitishwa kimataifa leo anakuwa chaguo la Mungu?
Eti ni zaidi ya Magufuli yule muuaji aliyetumbukiza taifa shimoni?
Kama mungu wa Makonda na Magu ni Mungu sorry mungu ninayemuamini then nitakuwa mpagani au muabudu shetani kabisa!
 
Magufuli hakufanikiwa lolote la msingi katika kujenga uchumi endelevu Tanzania. Kasoma mpaka Ph.D lakini amebaki kuwa mjingamjinga tu anayekunywa maji ya kikombe cha babu na kukataa sayansi ya chanjo, sasa huyo high achiever wa nini? Ujinga?
Dah! You sound so arrogant on this one bro.
Ukisema JPM hakufanya lolote kwenye maendeleo ya Taifa hili unaonekana mchekeshaji,ukiyasema haya kwenye daladala utazomewa na hata kupigwa kwani aliyoyafanya yalionekana na hata kumgusa mwananchi wa kawaida kabisa,wala hukuhitaji degree kuyaona, na toka aondoke kero zilizoanza kusahaulika zimerudi.
Falsafa yake kwenye kupambana na covid iliyohusisha chanjo, ndio iliyosaidia Taifa kuvuka salama, lkn wapumbaf walioamua kujitia upofu wa fikra lazima wabeze tu.
Awamu ya sita ilichukua mkopo kwa ajili ya kupambana na covid ikiwemo hizo chanjo, watanzania wangapi wameshachanjwa mpaka sasa na wewe unaamini chanjo hii ndio iliyotokomeza covid,?maana tuna red eyes hivi sasa na tunaiona, je covid ipo wapi? zaidi ya fedha kutafunwa na Taifa kubaki na deni.
Pengine elimu yake ya kemia ndio iliyomsaidia kuona mbali zaidi ya walio wengi hasa kwenye swala la chanjo.Tuliona mataifa kama US , SA,Kenya etc, walioamini kwenye chanjo na lockdown lkn mwisho wa siku wananchi waliandamana kupinga maamuzi hayo, wapumbaf ambao hawakupelekwa lockdown wala kuchanjwa na hawakupata maambukizi lkn wanabeza,pathetic.
 
Carlos the mbweha, rudi kwenye nada zako zile za kula kimasihara, kumwaga Maji wanawake na ujuzi wa kutongoza. Huku unazingua aisee,. Ni mungu gani huyo unamzungumzia?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Dah. Mkuu unaandikaga mashudu yaani.

Unatawaliwa sana na ukabila, ukanda na eventually uduanzi

1. Makonda ni mjamaa? Unahakika?

2. Nchimbi hajulikani na hana impact, angerudishwa toka Cairo aje achukue hiyo nafasi na kuacha mamilioni ya wana ccm waliyoitarajia?
Na Mimi nimeshika mdomo kwakushangaa
 
Dah! You sound so arrogant on this one bro.
Ukisema JPM hakufanya lolote kwenye maendeleo ya Taifa hili unaonekana mchekeshaji,ukiyasema haya kwenye daladala utazomewa na hata kupigwa kwani aliyoyafanya yalionekana na hata kumgusa mwananchi wa kawaida kabisa,wala hukuhitaji degree kuyaona, na toka aondoke kero zilizoanza kusahaulika zimerudi.
Falsafa yake kwenye kupambana na covid iliyohusisha chanjo, ndio iliyosaidia Taifa kuvuka salama, lkn wapumbaf walioamua kujitia upofu wa fikra lazima wabeze tu.
Awamu ya sita ilichukua mkopo kwa ajili ya kupambana na covid ikiwemo hizo chanjo, watanzania wangapi wameshachanjwa mpaka sasa na wewe unaamini chanjo hii ndio iliyotokomeza covid,?maana tuna red eyes hivi sasa na tunaiona, je covid ipo wapi? zaidi ya fedha kutafunwa na Taifa kubaki na deni.
Pengine elimu yake ya kemia ndio iliyomsaidia kuona mbali zaidi ya walio wengi hasa kwenye swala la chanjo.Tuliona mataifa kama US , SA,Kenya etc, walioamini kwenye chanjo na lockdown lkn mwisho wa siku wananchi waliandamana kupinga maamuzi hayo, wapumbaf ambao hawakupelekwa lockdown wala kuchanjwa na hawakupata maambukizi lkn wanabeza,pathetic.
Kitu cha kwanza umeshindwa kusoma kwa ufahamu. Sijaongelea maendeleo ya taifa nineongelea maendeleo endelevu.

Magufuli alikuwa anasema anataka kuwahi kumaliza miradi yake, hakuwa na uhakika kwamba atakayemfuata ataitimiza miradi yake.

Ndoyo maana unasema "na toka atoke kero zilizoanza kusahaulika zinarudi"

That alone is failure right there.

Ila Watanzania wengi hamuwezi kuona hilo. Hamuwezi kuona Magufuli alikuwa na uongozi wa one man show ambao hauku address suala la akiondoka Magufuli mambo yataendaje?
 
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.

Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.

Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.

Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.

Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.

Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.

Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.

MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Lini magufuli aliwahi kuwatetea wanyonge. Kuwatetea wanyonge ni kiwapa ajira ili wajitegemee I enyewe. Kipindi Cha jpm ndo tumeshihidiaajira zote zilipukutika binafsi na serikali kwa kutumia wawekezaji wote ambao walikuwa wameajira mamilioni ya watanzania na ndo kipindi kilichoongozwa kwa uongo mwingi. Nakumbuka Kuna kipindi serikali ilitangaza inaajiri walimu elfu 13 hata buku hawakufika. Alijaza ambao tayari wameshaajiriwa ili kuhadaa uma eti kaajir wakati mwenzi kikwete alikuwa ankomba wote bila kuacha mtu. Sasa Hao wanyonge sijui ndo wepi
 
Back
Top Bottom