kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Mtoamada atakuwa msuvajna...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
See... you took it personal, ndo maana nasema ww una 'zero emotional intelligence'. Ndo maana nasema you couldnt stand in competitions sababu winners hawajustify ushindi wao, ww una justify, Unaanza kujitetea na NYSE, kwa taarifa yako huko kote nimefika, na sijui kwenye floor ya NYSE ulisurvive vp kwa mentality yako hio dhaifu kama sio kubebwa bebwa tu. I've worked at Barrick Gold HQ, AngloGold Ashanti S.A kote nimefanya kazi lkn siwezi tumia hayo kujustify arguments zangu, ww una loser mentality ambayo ndio inakuforce ujitetea kwa namna hio.
Mimi msomaji sana chief, I read pages and pages daily and process them, content zako humu unazoziita critics zote ni hate based. Elon hujaanza kumuongelea vibaya leo au jana, nikiweka comments zako hapa khs elon toka anunue twitter na tukampa hizo comments hata chatGPT abashiri level ya hate yako towards elon utapata 9.5/10. The same utapata kwa magufuli. The same utapata kwa ndg na marafiki zako walioarchieve vitu kukuzidi, and that has nothing to do with 'where u came from' but it has everything to do with your 'ego', your loser mentality, inayokuforce ku-bring down winners akilini kwako kuwaweka kwenye level yako, wakati in reality they are winning big time.
Mfano, elon angekua asshole TSLA stock ingesadifu hayo, but that guy u call asshole has beat the SPY, one tweet of his can alter Crypto prices, ofcoz kichwani mwako ni asshole, ila reality inakukataa. Hio ni mifano nakupa kukuonesha kwamba you have a very serious problem in your mental circuits.
And what you call philosophy is actually your ego.
Na unanipa mifano ya Nyerere, boy..... yaani unaishi USA, working at NYSE unakuja kusema mambo ya ujamaa hapa? That bullshit philosophy? Anyway thats another topic, lkn kama magufulu angepewa nafasi ya nyerere basi magu angemu-outperform nyerere by 1000%. Dont take my work, let's talk with data, something that you cant coz all your points are unfounded toka nmeona umeongelra issue ya corona nikajua tu hu-deal na data bali gossips.
Sorry huwa siongei vitu serious hapa JF, you just forced me to do and this is my last comment on this.
Ina maana makundi kwenye Chama tayari hayaepukiki ??!Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .
Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.
Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.
Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.
Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.
Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.
Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.
Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.
MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Acha uchonganishi kila mmoja anafanya kazi kwa mipaka yake, Nchimbi kama boss wa Makonda!Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Hahahahaaa... LMFAO.....Nimekuuliza, unajuaje hii ni chuki na si legitimate philosophical criticism. Mara tatu.
Hujanijibu.
utamsababishia matatizo huyo makonda wako......muda si mrefu atawekwa bench,...Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .
Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.
Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.
Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.
Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.
Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.
Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.
Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.
MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Acha uchonganishiPengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Mkuu,
Bwana Kiranga ni loser anaejificha kwenye kivuli cha success zake chache akidhani wengine kushinda zaidi ya hapo alipofanya yeye ni dhambi.
Wewe jamaa unazingua.Bwana Kiranga ni loser anaejificha kwenye kivuli cha success zake chache akidhani wengine kushinda zaidi ya hapo alipofanya yeye ni dhambi.
The same mentality imekua kiasi kwamba yeye akiona mtu/kitu kina-power zaidi yake yeye basi anaona wivu unaozaa hate then anadeliver hio hate kwa sahani ya criticism,
The same mentality ndo inamfanya asikubali Mungu yupo sababu hataki kuona na kukubali makuu Mungu aliofanya anatamani angekua na uwezo akayafanya yeye ili watu wamtukuze.
Na hawa watu ni very dangerous wakipata power. Sababu wataanza kuforce kuachieve vitu ili tu wao ndo waongelewe, hawatotaka kusikia wengine wakiongelewa kwa makuu waliofanya.
That's kiranga, ila hataki kukubali ukweli.
Siyo ujinga, Mimi ni mwanaCCM anayewajali watanzania kwa ujumla (wanaCCM na wengine wote).Acha ujinga.
Badala uwe na ushirikiano na vijana wenzako hapo mtaani wewe unaleta habari za kuwaunganisha hao matapeli?
Njie raia mnashobokea sana watu wenye label za ungozi.
Fikiria hilo.
Acha kupoteza muda na aina hii ya watuDah. Mkuu unaandikaga mashudu yaani.
Unatawaliwa sana na ukabila, ukanda na eventually uduanzi
1. Makonda ni mjamaa? Unahakika?
2. Nchimbi hajulikani na hana impact, angerudishwa toka Cairo aje achukue hiyo nafasi na kuacha mamilioni ya wana ccm waliyoitarajia?
Ebu acha upuuzi! Hao wanyonge hawataki umeme? Labda kwasababu hawawezi ku afford? Na kwamba wanatumia vibatari? What a stupid mind?!Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .
Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.
Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.
Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.
Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.
Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.
Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.
Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.
MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.
Tungekuwa tuna uwezo wa kuona watu wanaoandikaPengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .

Kwahiyo wewe kwa akili yako finyu unaona waliomteua wamefanya hivyo ili wawe tofauti na wao?Kwa nchi za Africa particular Tanzania inabidi wawepo viongozi jamii ya Makonda. Watu wengi wanaopewa mamlaka ya kusimamia mambo mbalimbali hawajitambui kabisa.
Tukiendelea kuchekeana chekeana na kupetiana hatutokaa tuendelee daima.
Ngozi nyeusi haina ustaarabu kabisa. Inabidi ipelekwe mputa mputa.