Pre GE2025 Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona sukuma gang tangu jana hamlali ni kuleta nyuzi tu za kumkandia Nchimbi

Kumbe alipiga kwenye mshono? Kwa hali hii inabidi awaongezee dawa!!

🤣🤣🤣
 
JPM alikuwa high achieving individual? Acheni utani basi!
You really have to learn how to Face facts...

You have eyes but you do not see.

6years tu ka-transform tz, mfumuko wa bei alicontrol, corona aliweza kudeal nayo mkaishia kusema watu wanakufa lkn hatuoni maiti ziko wapi, I'm a data guy bro, niletee death rate ya tanzania toka 2010 hadi 2023 tuone kama kulikua na anything special 2020 kpnd cha corona?

The thing is hate hate hate hate hate hate*1000000
 
Don't be so blind Kwa unafiki.


Ni Rais gani hapa Tanzania Toka uhuru ambaye aliwah THUBUTU na kufanya makubwa Kwa ajili ya Taifa, kama alivyofanya Hayati JPM?.
Hawa jamaa wametawaliwa na chuki plus unafiki, they are very cheap, hata wao wanajua hilo
 
Hao wote ni viongozi dhaifu tu.

Watanzania msipoteze muda kuwafuata hao walevi.

Tumia muda wako kufanya shughuli zako na muhimu zaidi hapo mtaani muwe na umoja na tatueni changamoto vile mnaona inafaa.

Jiungeni mtengeneze barabara zetu mtaani wenyewe.

Hospitali zenu wenyewe.

Shule.

Viwanda.

Hakikisha hapo mtaani kuna kituo watoto wajifunze teknolojia mapema sana.

Hapo mtaani lazima kuna watu wanauwezo na wanapenda mapinduzi ya kweli ni kufahamu ni akina nani na kuongea vizuri hii nchi ipate uponyaji.

Taratibu, msishiriki kwa namna yoyote mambo yanayohusisha siasa za serikali na ccm au pimbi yeyote yule anayeleta ujuaji.

Pia msisahau hapo mtaani muwe na bunduki angalau 15.

Himizeni watu wafanye mazoezi na kula kwa afya.

Baada miaka michache hakuna pimbi au kitu kinachoitwa serikali itaweza kuwayumbisha.

Watu wanataka hali bora ya maisha na si kusikia majina ya wajinga wanaojiita viongozi.
 
1. Huna nuance. Ndiyo maana unaona ku criticize hao unaowaita high achievers kifalsafa ni chuki.

Ruto nimeeleza kuwa nam compare na Magufuli on a very specific topic. Kwamba, huwezi kusema una rais high achiever ambaye hana achievement katika foreign relations ya nchi. Hata kwenye agenda tu.

Nyerere kafariki miaka 24 imepita, watu wanaandika kuhusu Ujamaa, kuhusu Nyerere Doctrine. Kaacha body of works, kaandika jinsi ya kuendesha vijiji. Kaacha a new country on the map of the world. High achiever? Yes, definitely philosophically. Even if economically there are more misses than hits.

Ruto anaongelea Afrika ijitutumue vipi, ijiondoe vipi kwenye makucha ya US. Ruto akifa leo, despite all the local politics Kenya, katuachia legacy ya ajenda kwamba tunaweza kufanya biashara bila kutumia dola ya Marekani. Hiyo ajenda ni muhimu kuliko jambo lolote alilosema au kufanya Magufuli kiuchumi, hayo mauzauza yote ya makinika, madege ya cash na Koroshow ni cheap comedy ukiyalinganisha na agenda hii moja tu ya Ruto.

2. Nimekuuliza, unajuaje hii ni chuki na hii ni legitimate philosophical criticism? Hujajibu. Unaenda kwa hisia tu.

So, you are an Elon Musk fanboy, you don't like people who criticize Elon Musk. You can't debate issues. You blanket every criticism as personal hate. This is the definition of ad hominem logical fallacy. Umeshindwa ku debate hoja unasema mtoa hoja ana chuki binafsi. Umeshindwa ku debate hoja, unamchafua mtoa hoja.

Mkuu,

Kote nilikosoma mimi ni star na nimekuwa top of my class. Nimeanza career yangu US on the Floor of The Goddam New York Stock Exchange. Sina matatizo na watu successful kwa sababu kwetu wenyewe successful.

Usichanganye mtu anayefanya a philosophical criticism na personal hate.

Wabongo wengi kama wewe mna matatizo ya kutoweza kufanya a nuanced abstract thought process.

Mtu akisema "napinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi" automatically mna assume huyu ni mtu mweusi kaonewa analalamika kwa sababu kaonewa binafsi.

Hamuelewi kuwa hata mzungu anaweza kupinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi kwa sababu za kifalsafa tu ambazo hazina uhusiano wowote na yeye kuumizwa na ubaguzi wa rangi.

Ni vigumu sana kufanya maongezi yenye nuance na watu wasioweza abstract thinking kama wewe.

Yani Elon Musk abwatuke, atukane watu huko. Mimi nimseme kwamba huyu jamaa hana self control, halafu, unatuambia mimi namsema Elon Musk kwa sababu ya chuki binafsi?

Yani kujamba ajambe Elon Musk, mimi niseme tu hapa Elon Musk kajamba, halafu lawama unipe mimi?

Kisa?

Unasema Elon Musk hajambi? Anatoa marashi ya Versace Eros matakoni tu?
 
Achana na hiyo mbwiga, mtu asiyeamin uwepo wa Mungu, unadhan ana nini Cha kueleza akaeleweka?.
 
Haitoshi akasema Makonda ni mtu mwenye akili. Aiseee?!
 
Hatuhitaji kuwagombanisha Nchimbi na Makonda, bali kuwaunganisha kwa mambo chanya kwa faida ya wananchi, chama na taifa kwa ujumla.
Checks and balances ni muhimu.
Acha ujinga.

Badala uwe na ushirikiano na vijana wenzako hapo mtaani wewe unaleta habari za kuwaunganisha hao matapeli?

Njie raia mnashobokea sana watu wenye label za ungozi.

Fikiria hilo.
 
Umeandika kwa hisia na busara kubwa mno. Japo watakuja wajinga wanaokwazwa na utendaji wa Makonda kufanya ni wa Kikabila.
 
Ila wafuasi wa Makonda huwa mna shida sana. Akitokea mtu akakosoa kidogo kuhusu Makonda au JPM aisee mnawaka! Hivi kwenu Makonda na JPM huwa ni malaika hawakosei kabisa kabisa eeenh?
Wanamuona kama nabii....!!!

N.C.H.I.M.B.I✔️
 
Sikujiaga kuwa kuna wasukuma mashudu kiasi hiki
 
😎
 
Bashite unasemaje? Haufiki mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…