Mwambieni Rais Magufuli apunguze sauti. Nchi hii bila wazungu ni tajiri kwa kipi?

Mpigie Sele 0787132277 ni rafiki yake mkubwa mpe huu ujumbe utafika kwa wepesi kwani huyo ni msiri wake hata maovu yote ya makonda Bashite ndiyo aliyakusanya akampeleke mtukufu Akamkataa Bashite mpaka sasa,siri zake zote anazo
 
Mpigie sele 0787132277 atawapa siri zote kwani anadai mtukufu kamwanini hadi humpa siri za ndani zote
 
Imenikumbusha simulizi ya mama mbu na katoto chake kalivyo toka nnje siku ya kwanza

Mama mbu akakauliza umeonaje huko?
Katoto kakasema nimeshangiliwa sana kwakupigiwa makofi sana kilamtu kanisifia
Mama mbu akamjibu shukuru umepona kule sio kusifiwa umekoswakoswa kuuwawa

Mkulu wetu aache kuvimba kichwa kwa kuwatukana mabeberu amwelewe mama mbu alicho mhasa mwanae
 
Mi nashauri wasaidizi wake wahakikishe kuwa kabla hajatoa hotuba wamuulize kama alikumbuka kumeza Dawa zake.
 
Wazungu wametutangulia,na wametuwahi wakashika mifumo yote ya kibiashara na kiuchumi. Tuwe wapole, tuwatumikie hawa makafiri ili tupate mradi wetu.
 
Mzee hana hata shukurani aisee.
Wazungu haohao huko kwao wamemsaidia kukamata vinyonga wake waliotoroshwa hapa nchini,tena inawezekana wameondokea hapo JKIA
.
 

What's better than this:

"Mkumbusheni Magufuli anachokifanya ni sawa na Matonya kujaribu kushindana na Bakharesa."

.😂😂😂😂!
 
Halafu huko duniani basi wakiangalia akili yake ilivyo, wanaweza kudhani nchi hii raia wake wote wana akili ndogo sana.

Wasipowakumbuka akina Nyerere hata na wale wengine kuwa nao waliwahi kuwa hapa kwetu, watakuwa hawatutendei haki.
 
Kama Raisi na nembo ya watanzania bila kubagua kada Zao kuna maneno hatakiwi kuyatamka ni kutuchimbia kaburi wananchi wake.
 

YOELI 2;21-2​

Ee nchi, usiogope; furahi na kushangilia; kwa kuwa Bwana ametenda mambo makuu. 22 Msiogope, enyi wanyama wa kondeni; maana malisho ya jangwani yanatoa miche, na huo mti unazaa matunda yake, mtini na mzabibu inatoa nguvu zake. 23 Furahini, basi, enyi wana wa Mungu, mkamfurahie Bwana, Mungu wenu; kwa kuwa yeye huwapa ninyi mvua ya masika, kwa kipimo cha haki, naye huwanyeshea mvua, mvua ya masika, na mvua ya vuli, kama kwanza. 24 Na sakafu za kupepetea zitajaa ngano, na mashinikizo yatafurika kwa divai na mafuta.​

 
Wazungu unaweza kucheza nao ila kwa umakini na tahadhari kubwa.
 
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
6 Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema;Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.
7 Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake.
8 Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.
9 Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?
10 Mimi, BWANA, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.
Yeremia 17
 
Eleza ujinsia wako kwanza Acha porojo hizo
 
Mimi nadhani Rais wetu anashindwa kutofautisha kati Rais wa Tanzania na John Magufuli. Huwa haongei kama Rais ila kama Magufuli. Rais anapoongelea jambo ni lazima aongee kwa maono ya nchi na tathmini za muda mrefu na mfupi based on facts sio maoni yake. Tatizo lake anakuja kuongea na nchi kama anaongea na ukoo wa Magufuli. Lakini nataka kulaumu hawa usalama wa Taifa je ni kweli hawampi updates based on facts na kitu cha kufanya?? kwa maslahi mapana ya Taifa, hajui haya matusi kila kukicha kutukana wazungu anadhani hawa mabalozi wamekuja kula kuku tu hapa, wanajuwa kila kitu anachofanya hawa ni majasusi wa nchi zao sio wa kubeza na labda hata huko kufungiwa kusafiri kwenda UK taarifa zimeshakwenda kuwa hali ni mbaya hapa kama SA zuia hawa.
 
Ashukuru yupo dini yetu pendwa, .... angekuwa wa upande wa pili vikwazo vya kimataifa vingekuwa tayari vimemshukia kwa kauli kama hizo!
 
Uzi huu umenikumbusha uzi mwingine upo humu unaelezea kisa cha Nyerere na Diamond ya mwadui jinsi alivyofail big time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…