Mwami Theresa Ntare VI wa Heru - Chifu wa kwanza mwanamke

A
Shukran
 
Nilikua sijui kama enzi hizo na amina mama walikuwa shupavu, nikawa nafikiri labda wameanza kujikakamua siku hizi kwa njia ya Beijing
 
Mtoto wa kwanza wa mwami ntare, Costa shinganya ni mmoja wa waasisi wa chadema. Alihusika sana kumleta walid kabouru miaka ile.
 
Kwahiyo wao ni birth & death mates[emoji3]
 
Ahsante kwa historia nzuri. Kitu kinachonisikitisha na kwa muda mrefu tangu nikiwa primary and secondary schools ni kuwa watu wengi walishiriki bega kwa bega na Mwalimu Nyerere ktk harakati za kugombea uhuru hawapewi credits wanazostahili ni Nyerere tu, maybe a little credits wanapewa kina Kawawa, Bibi Titi. Naomba nisieleweke vibaya nampenda Nyerere lakini hakuna kazi kubwa kama ya uhuru inaweza kufanywa na mtu mmoja pekee hata. Kila siku unasikia Nyerere ndio baba wa Taifa. Ilitakiwa pawe na mababa na mamama wa Taifa, founding parents. Primary nakumbuka nilimsoma mtu anaitwa Said Skyes(miongoni mwa wengi ) alikuwa mmoja wa waanzilishi wa TAA/TANU hili jina limenikaa kichwani. Hatujasikia au hutasikia anapewa credit zake pamoja na wengine kama kina Chief Fundikira, Kasela Bantu, Mapalala, Kambona, huyu mama, etc. Hakuna monuments na landmarks zinazopewa majina ya hawa mashujaa wetu, everything ni Nyerere, Nyerere, Mwinyi, kikwete, Mkapa, Kawawa, next Magufuli na utashangaa Makonda naye anaakreditiwa na a landmark keshokutwa. Nachosema nobody can do everything but himself. Nina uhakika sababu moja iliyosaabisha story ya huyu mama na wengine wengi kutofundishwa mashuleni, kuchapishwa vitabuni, majaridani na magazetini ni chuki na fitna za kibinadamu, kumbukeni hakuna binadamu asiye na huu udhaifu (fitna na chuki ). Historia ya nchi haijali itikadi ya chama, haijali imani ya dini, haijali rangi ya ngozi ya mtu au kabila la mtu. Tanzania inatakiwa kuwa enzi mashujaa wetu wote kwa contributions zao walizotoa kwkwa hii nchi. It is not about Nyerere and ccm people only.
 
There is a lot about the history of our independence struggle that we don't know. The history was deliberated designed to elevate the roles played by some people and while minimizing the roles played by other freedom fighters. To be sincere this is the first time I hear about Mwami Theresa Ntare VI of Heru and I am not young.
 
Mzee wng Mohamed Said nakushukuru kwa kumbukizi nzuri kabisa, yapo mengi yaliyojificha kwenye historia ya taifa letu pendwa hivyo ni muhimu kabisa kuwekana sana kwa faida ya kizazi cha leo na kizazi kijao.
 
Very well said. Like I said on my post above the struggle couldn't be success by one person. We all know and hear is Nyerere, Nyerere, Nyerere. This isn't fair for the rest of our freedom fighters. Even this story shows that most of freedom fighters came from interior of the country. What about the contributions of people from Pwani, Kusini, north-east(Arusha,Kilimanjaro,Tanga), I'm sure there are some contributions from them. Again, it is not about Nyerere, Nyerere and fewer.
 
Ni upi mchango wake kwa maendeleo ya Mkoa wa Kigoma ?
Kama alikuwa mpigania uhuru unataka mchango gani mwingine!???

maendeleo waulizwe vijana wa sasa na wa baada ya uhuru!?

Maswali mengine yanalenga kumdharau mtu!

Sasa mfano tukikuuliza utupe mifano ya watu walioleta maendeleo kwenye taifa hili watafika hata watano kweli!?
Maanake ni taifa masikini sana tangu tumepata uhuru mpaka leo!
 
Rekebisha hapo sio Said Sykes uliomsoma ni Ally Sykes hata mimi niliwasoma pia na akina Dossa Aziz na John Rupia. Tupo pamoja.
 
Taarifa nzuri
 
Hadithi nzuri sana kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…