shonza ataenda manzese uwanja wa fisi kuendelea na biashara yake,na ntella ataenda kulima maharage kwao-hii ndo zawadi ya usaliti kwa watu wenye akili ndoto,uwezo mdogo wa kufikiria,wametumika kama toilet paper au condom wakatupwa
kwa jinsi alivyo sio wengi kama 10 tu sio mchezo.Ushawavulia wangapi Mpaka leo hii???
Mtasubiri sanaaaaaaa
Ni kweli huwezi kuona.
Mm nilizani unasoma, Kumbe unaona?
zomba udaku wako wenye kichwa miguu na tumbo upo wapi?Sioni kichwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.
Mtasubiri sanaaaaaaa
kesha choka yuko na kiduka chake hapo ilala haamini yaliyomkuta, siasa sio mchezo sasa hawa wanasubiri kutupwa jalalani tu wakishatumika.Utakavyotupwa hutaamini macho yako,toka lini masalia yapate vyeo wakati wapo magamba yaliyokomaa kama akina benno malisa na wengineo wasipewe vyeo iwe wewe kidampa!!Muulize tambi hizzo aliyetoka kwa maliberali..
..........Hivi wewe huwa unaandikaga kitu cha maana humu hadi um-convince mtu afuatilie nyayo zako, shame on you Gambas!.Ptuuuuuu!Fatilia nyayo zangu humu JF utauona, mwingi tu. Anza.
Hahahaha,labda tusubri watapewa uDc,au Viti maalumu.
Sioni kichwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.
stela mwamp....... na july Shenzi... ha! ha!.............kutumiwa kama TP!Mtasubiri sanaaaaaaa