Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

Aibuuuuuu mtoto wa kike kuuza utu wako ajili ya vijisenti uchwara!!! Utajibeba mwaka huu manake wenye chama chao washaanza kuwachoka halo halo

Mwambie huyoooo....ATADEKI BAHARI MWAKA HUU
 
We endelea kupiga mark time apo kijiweni na sumu zako

CCM ni kama ukoo wa panya, baba mwizi mtoto mwizi mama mwizi mjomba mwizi shemeji mwizi wote wezi.

Tunatembea na Sumu tuwaue CCM, na sumu yetu siyo nyingine bali sanduku la kura!!!
 
Ukiwa malaya utatumiwa halafu utaachwa solemba kama takataka #shonza #mwampamba wameji dump wenyewe off politics arena
 
CCM ni kama ukoo wa panya, baba mwizi mtoto mwizi mama mwizi mjomba mwizi shemeji mwizi wote wezi.

Tunatembea na Sumu tuwaue CCM, na sumu yetu siyo nyingine bali sanduku la kura!!!

chadema ni kundi la majambazi na wavuta unga ambao hawajitambui wanafanya nini kazi yao ni9 kupanga mauaji na mipango ya kumwagia watu sumu.
 
Fyonza n stellah nawatafuta ili niwale 0713 zao. Mwenye nyepesi wanakopatikana na namba zao tafadhari
 
Samahani, umeolewa?? Au ndio wale wale manunga yembe

Acha kulia lia na kujidhalilisha kwa mwanaume mwenzio ww. Jitegemee

Wivu huo, unataka akupe ww??? Huna hadhi

We endelea kupiga mark time apo kijiweni na sumu zako

Unajipeti peti kweli dada angu, huoni unadhalilika?

Una sumu apo? Au ht tindikali tu

Kibaraka mwenzio ben sa8 yupo??

Kama na wewe uko kwenye fungu la bk 7; ni dhahiri kuwa hata huyo anayekulipa atakuwa mwehu zaidi yako. Halafu mnajinasibu kuwa nyie ndiyo THINK TANK ya nchemba na uvccm, aibu
 
Kama mnakumbuka aliyekuwa katbu mkuu wa CCM mzee Yusuph Rajab Makamba aliwah kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza.

Hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa CCM si kujibu hoja kwa hoja bali hoja ijibiwe na matusi na uhodari wao wa propaganda za matusi ndo sababu ya Makamba kuwamega CUF na akawaleta CCM wasaidie kujibu mapigo ya wapinzani na walishnda kwenye radio na magazeti kila siku kujibu wapinzani, walipokelewa CCM kwa shangwe za kufa mtu ila sasa walitupwa kama takataka na hawajulikani walipo.

Sasa Kinana na Mwigulu wamefanya usajili wa Shonza na Mwampamba waliofukuzwa CHADEMA na wakapokelewa kwa mbwembwe na kupga pcha na Kikwete, wakawatukana kwa matuc viongoz wa CHADEMA majukwaani na kujbu hoja kwa matusi.

Kibao kimegeuka baada ya kushndwa Arusha na kata ya nyumban kwao Iyela Mbeya. Viongoz wa juu CCM wamehoj kwa nin Mwigulu amewatumia hawa mamluk wasiopendwa na wananch na wakalipwa perdiem? Ameagzwa asiwatumie tena wabak wanachama wa kumiliki kadi.

dah, mupenzi Juliana asa itakuwaje sweetie?!
 
Last edited by a moderator:
we kizee vua gamba hilo

avatar34775_3.gif

acha kuwaingiza wototo kwenye Siasa, kwani ukiangalia hiyo Nyomi ya Songea waliotangulizwa ni watoto walio chini ya miaka mi3, sasa wataelewa nini km sio kujifunza vurugu na migomo, Mtoto umleavyo ndio akuavyo Demokrasia haitafutwi kwa vurugu kwani hata huko Arusha katika lile Bomu walikuwepo watoto ambao hata 2015 hawatapiga kura, na ni kwamba hapo hawaelewi kitu, wakitoka hapo kesho NCCR, mara CUF na vyama vijavyo, acheni wakue watachagua chuya na amani ni ipi
156395_547413758655490_286445152_n.jpg
 
Sioni kichwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.

okey lets say ni udaku.
je kiuhalisia unaonaje utendaji wa vijana hawa kwenye ujenzi wa chama kwa kuzingatia reference wa kata mlizopata baada ya kampeni zao na Nchemba??
 
Kibaraka mwenzio ben sa8 yupo??

Ben sa8 ni mwiba mkali kwa magamba...kweli magamba mna kazi maana tunatwanga kote kote..mkigeuka huku dr.slaa, kule kamanda wa anga mh.mbowe, tundu lissu, mnyika, mdee, sugu, msigwa (sumu mbaya kwa magamba) lema (jembe)kamanda mawazo, mkuu molemo, Benson kigaila...aisee chadema inatisha...hapo sijawataja makamanda wote.mambo ya twanga kote kote.
 
Back
Top Bottom