Fanfa
JF-Expert Member
- Sep 25, 2009
- 2,399
- 3,775
Usisahau kuwa Mwampamba alikuwa anafanya biashara Mombasa. Huenda akaenda Mombasa kuendelea na biashara yake.
shonza ataenda manzese uwanja wa fisi kuendelea na biashara yake,na Ntella ataenda kulima maharage kwao-hii ndo zawadi ya usaliti kwa watu wenye akili ndoto,uwezo mdogo wa kufikiria,wametumika kama toilet paper au condom wakatupwa