LWENYI
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,839
- 2,175
utaviona cku ukitoka nje.Sioni kichwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.
utaviona cku ukitoka nje.Sioni kichwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.
Wajinga ndio waliwao, hehehehe kama unabisha muulize juliana shoza na mtela mwampamba, moto ushaanza kuwawakia, we endelea kuuza sura jf labda utaambulia mume soon
Samahani, umeolewa?? Au ndio wale wale manunga yembeIna maana hujauona uzi wa Team Lumumba au umeamua kujitia upofu? Twende kule kumenoga
kusubiri sana nn? Chezea ccm wewe? Subiri wakung'oe uone!Mtasubiri sanaaaaaaa
Big up sana Sweetlady kwa kuongoza mapambano dhidi ya hawa Magamba.Team Lumumba inapatikana wapi nami nataka kuingia huko.Iko JF au FB?
Hahahaha,labda tusubri watapewa uDc,au Viti maalumu.
Wivu huo, unataka akupe ww??? Huna hadhiJK angmhurumia Shonza akampa ukuu wa wilaya ya Chalinze (wilaya mpya to come) au ampeleke Iramba kwa mzee
Kama mnakumbuka aliyekuwa katbu mkuu wa CCM mzee Yusuph Rajab Makamba aliwah kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza.
Hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa CCM si kujibu hoja kwa hoja bali hoja ijibiwe na matusi na uhodari wao wa propaganda za matusi ndo sababu ya Makamba kuwamega CUF na akawaleta CCM wasaidie kujibu mapigo ya wapinzani na walishnda kwenye radio na magazeti kila siku kujibu wapinzani, walipokelewa CCM kwa shangwe za kufa mtu ila sasa walitupwa kama takataka na hawajulikani walipo.
Sasa Kinana na Mwigulu wamefanya usajili wa Shonza na Mwampamba waliofukuzwa CHADEMA na wakapokelewa kwa mbwembwe na kupga pcha na Kikwete, wakawatukana kwa matuc viongoz wa CHADEMA majukwaani na kujbu hoja kwa matusi.
Kibao kimegeuka baada ya kushndwa Arusha na kata ya nyumban kwao Iyela Mbeya. Viongoz wa juu CCM wamehoj kwa nin Mwigulu amewatumia hawa mamluk wasiopendwa na wananch na wakalipwa perdiem? Ameagzwa asiwatumie tena wabak wanachama wa kumiliki kadi.
Sometimes wanazi wa CDM humu ndani wanakuwa kama mazuzu vile
Wao wanachotaka ni uandike chochote kuponda CCM basi watashadadia wakati habari haina kichwa wala miguu
Ingekuwa ni habari ya CDM hapa kila mtu ange demand source..........................
Kama mnakumbuka aliyekuwa katbu mkuu wa CCM mzee Yusuph Rajab Makamba aliwah kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza.
Hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa CCM si kujibu hoja kwa hoja bali hoja ijibiwe na matusi na uhodari wao wa propaganda za matusi ndo sababu ya Makamba kuwamega CUF na akawaleta CCM wasaidie kujibu mapigo ya wapinzani na walishnda kwenye radio na magazeti kila siku kujibu wapinzani, walipokelewa CCM kwa shangwe za kufa mtu ila sasa walitupwa kama takataka na hawajulikani walipo.
Sasa Kinana na Mwigulu wamefanya usajili wa Shonza na Mwampamba waliofukuzwa CHADEMA na wakapokelewa kwa mbwembwe na kupga pcha na Kikwete, wakawatukana kwa matuc viongoz wa CHADEMA majukwaani na kujbu hoja kwa matusi.
Kibao kimegeuka baada ya kushndwa Arusha na kata ya nyumban kwao Iyela Mbeya. Viongoz wa juu CCM wamehoj kwa nin Mwigulu amewatumia hawa mamluk wasiopendwa na wananch na wakalipwa perdiem? Ameagzwa asiwatumie tena wabak wanachama wa kumiliki kadi.
Big up sana Sweetlady kwa kuongoza mapambano dhidi ya hawa Magamba.Team Lumumba inapatikana wapi nami nataka kuingia huko.Iko JF au FB?
Samahani, umeolewa?? Au ndio wale wale manunga yembe
Msajili wa hawa-wanandinga wa Siasa aliangalia kiwango chao cha mechi za mchangani akawasajili wakacheze uwanja wa Taifa wenye kapeti. Chezea kapeti wewe!
wanazunguka uwanja mzima hawagusi hata mpira na magoli ndio yanatengenezwa kupitia kwao.
Na bado.
Mtasubiri sanaaaaaaa
Hahahaha aibu manake huna hoja.... Hapa sio mmu bana..... Kule ndio kunaongelewa mambo ya kuoa na kuolewa.... Jipange
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
We endelea kupiga mark time apo kijiweni na sumu zakoWakiteuliwa kwenye nafasi yoyote ya Uongozi wa Serikali nitaendelea kuamini kikwete kuwa Rais wa ajabu sana Tanzania
Unajipeti peti kweli dada angu, huoni unadhalilika?haaaaa unawashambulia mno wape nafas waende haja kwanza.