Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

156395_547413758655490_286445152_n.jpg

Utafanya watu wazimie sasa...
 
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

Kwa akili yako fupi ulielewaje huu msemo?
Kusifiwa au kukashifiwa?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Sometimes wanazi wa CDM humu ndani wanakuwa kama mazuzu vile
Wao wanachotaka ni uandike chochote kuponda CCM basi watashadadia wakati habari haina kichwa wala miguu
Ingekuwa ni habari ya CDM hapa kila mtu ange demand source..........................

Sasa kama wanazi wa Chadema hawaulizi source, mbona wewe mdafu wa ccm huulizi chili?
 
Shonza si anafaa kuwa wifi 'ako Pacha?

Pacha hapana, huyu hafai hata kuwa house girl wa nyumbani kwetu.... Pacha huyu atatuharibia watoto kabisaaa.... Hafai hata kwa matumizi ya dharura pacha wangu
 
Mkuu hii na wewe umeona bonge la hoja.

mbona hujatwambia ally bananga na milya wako wapi na wanafanya nini.

Kwa nini july na mtela wanawafanya msilale kiasi hicho na bado andaeni nepi na pempasi make watawatikisa kweli mpaka ifike 2015 lazima vitanda mlivyovitandika mtavitandua.

Wewe kama sio juliana shoza basi ni mtela mwampamba.... Twende kwenye uzi wa Team Lumumba tukajadiliane kwa kina.... Mmekuja kujificha huku kama hampo
 
Last edited by a moderator:
Naomba ku dedicate kibao cha BAHATI BUKUKU kiitwacho DUNIA HAINA HURUMA kiwe mahususi kwa wawili hao .
 
Namkumbuka huyu mdada aitwaye Shonza pale Mabibo alikua anashiriki kikamilifu ufuatiliaji wa magari ya kupeleka watu saba7 kwenye mikutano mbalimbali ...... ila wahenga hawakukosea walipo sema "time will tell" Kumbe ni big Snitch!!!!!
 
Umeliwa mchana kweupe

Wajinga ndio waliwao, hehehehe kama unabisha muulize juliana shoza na mtela mwampamba, moto ushaanza kuwawakia, we endelea kuuza sura jf labda utaambulia mume soon
 
Sioni kichwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.
......Hata kama ni uongo.....wewe unaonaje wanakisaidia chama.....kwni umekatazwa kutumia aklil yako kupima ufanisi wao....????
 
Back
Top Bottom