Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

Hapo kwenye highlight, labda ni kwa Tambwe, lakini Shaibu ni katibu wa CCM wa wilaya (sikumbuki ni wilaya gani). nadhani hicho ni cheo kikubwa kwa kumwezesha mtu kuishi mjini
 
Watakuwa hawajawatendea haki, mi nadhani wazidi kuwatumia hawa vijana kwasababu CCM hakuna malezi bora ya vijana, angalau hawa waliolelewa CHADEMA wana uwezo mkubwa wa kiuongozi kuliko hao UVCCM wengine. Mfano Shigella na Mwampamba si ni afadhali Mwampamba jukwaani au nakosea Ritz na zomba!
 
Last edited by a moderator:
Samahani hii pichwa imepigwa lini na wapi? ni baada au kablda ya kupigwa bomu kule Arusha? Kama ni baada ya Bomu Ina maana watu hawajatishika na vitisho vya propaganda chafu za bomu? ndo kusema kusema watu wameamua kama ni kufia kwenye mkutano wa CDM wafe? Magamba yanajifunza nini kutokana na hili?

CCM ikikuchoka inakutupilia mbali. Mnajua Tambwe hiza yuko wapi?


 

Mimi naomba waje wawatumie kwenye uchaguzi wa ile kata moja iliyobaki Arusha ili iwe tano bila....
 
Hivi viroba havijapigwa marufuku?

aiseeeee babayangu viroba havijapigwa marufuku coz serekali ya c c m inategemea kodi kutoka kwenye viroba kununu ma v8 na kuweka mafuta kwenye ndege ya pascal dagama
 
Hii ni Songea juzi tarehe 17.07.2013 kwenye uzinduzi wa kanda ya kusini huko songea, hata hivyo watu wa Arusha hawajaogopa mabomu kwani picha humu JF zipo za siku ya pili,tatu,nne na siku ya mazishi baada ya watu kuuwawa na bomu na risasi za Mwigulu nchemba..kama zilikupita nijulishe nikuwekee...
 
Hivi viroba havijapigwa marufuku?
Ili serikali ikose mapato, thubutu kuvipiga marufuku tena ndiyo wameongeza biashara nyingine polisi wamepewa uwakala wa kusambaza bangi afrika mashariki...
 
Gamba limekurupuka huko mbiooo eti udaku, atuambie akina tambwe hiza wako wapi? Asisahau pia kutuambia wapi walipopita juliana shoza na shogaake mwampamba wakakubalika zaidi ya kuambulia aibu

Mzee usihangaike na hawa mental retarded person.Ndo madhara ya kukeketwa na fistula ikapitiamo tena.Ila tumpe ushauri awahi hospital labda kuna rescue atapata.
 
Msajili wa hawa-wanandinga wa Siasa aliangalia kiwango chao cha mechi za mchangani akawasajili wakacheze uwanja wa Taifa wenye kapeti. Chezea kapeti wewe!
wanazunguka uwanja mzima hawagusi hata mpira na magoli ndio yanatengenezwa kupitia kwao.

Na bado.
 
Ili serikali ikose mapato, thubutu kuvipiga marufuku tena ndiyo wameongeza biashara nyingine polisi wamepewa uwakala wa kusambaza bangi afrika mashariki...

Ha ha ha ha.... Eti wanasambaza bangi khaaa!... Utang'olewa meno wewe!
Huu ni ugaidi wa wazi kabisa kusema kuwa police wanasambaza bangi. Hawa hawa police wetu watiifu wanaotulinda wananchi na mali zetu bila kujali itikadi ya vyama vyetu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…