shonza ataenda manzese uwanja wa fisi kuendelea na biashara yake,na Ntella ataenda kulima maharage kwao-hii ndo zawadi ya usaliti kwa watu wenye akili ndoto,uwezo mdogo wa kufikiria,wametumika kama toilet paper au condom wakatupwa
Hii ni Songea juzi tarehe 17.07.2013 kwenye uzinduzi wa kanda ya kusini huko songea, hata hivyo watu wa Arusha hawajaogopa mabomu kwani picha humu JF zipo za siku ya pili,tatu,nne na siku ya mazishi baada ya watu kuuwawa na bomu na risasi za Mwigulu nchemba..kama zilikupita nijulishe nikuwekee...
Fyonza n stellah nawatafuta ili niwale 0713 zao. Mwenye nyepesi wanakopatikana na namba zao tafadhari
Mimi kabla sijapata mwangaza hakika niliamini propaganda za CCM kuwa chadema ni chama cha vurugu bahati mbaya zaidi nikaenda mbali kueneza sumu hii, nasikitika saaaana, ila now nimeelewa ukweli hakika hamniondoi nimegundua hawa ni wakombozi sidanganyiki tena
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
mkuu huyo Zoba akija kukujibu hili swali ni PM namba yako ya simu nkutumie buku 20okey lets say ni udaku.
je kiuhalisia unaonaje utendaji wa vijana hawa kwenye ujenzi wa chama kwa kuzingatia reference wa kata mlizopata baada ya kampeni zao na Nchemba??
Shonza aliahidiwa ubunge wa viti maalumu au ukuu wa wilaya ngoja tusubiri
Mtasubiri sanaaaaaaa
Sioni kichwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.
Kama mnakumbuka aliyekuwa katbu mkuu wa CCM mzee Yusuph Rajab Makamba aliwah kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza.
Kibao kimegeuka baada ya kushndwa Arusha na kata ya nyumban kwao Iyela Mbeya. Viongoz wa juu CCM wamehoj kwa nin Mwigulu amewatumia hawa mamluk wasiopendwa na wananch na wakalipwa perdiem? Ameagzwa asiwatumie tena wabak wanachama wa kumiliki kadi.
Wivu huo, unataka akupe ww??? Huna hadhi
Mtasubiri sanaaaaaaa
Mtasubiri sanaaaaaaa
mkuu huyo zoba akija kukujibu hili swali ni pm namba yako ya simu nkutumie buku 20
Mtasubiri sanaaaaaaa
shonza ataenda manzese uwanja wa fisi kuendelea na biashara yake,na Ntella ataenda kulima maharage kwao-hii ndo zawadi ya usaliti kwa watu wenye akili ndoto,uwezo mdogo wa kufikiria,wametumika kama toilet paper au condom wakatupwa
Shonza aliahidiwa ubunge wa viti maalumu au ukuu wa wilaya ngoja tusubiri