Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mungu hayupo. Hizi ni hustle za watu tu.Mkuu kiranga,
Mungu mwenye nguvu zote aliyeweza kushusha malaika wakaua kambi nzima, mungu aliyekuwa anawashushia wana waisrael chakula anashindwa vipi kumshushia huyu bwana anayesema watu wakombe pesa zao?
Kwanini huyo mungu asubiri pesa za watu na akijinadi yeye vitu vyote ni mali yake?
🤣
Katika wimbo wa Eurythmics unaoitwa "Sweet Dreams" kuna mashairi yanasema.
"Sweet dreams are made of this
Who am I to disagree?
I travel the world and the seven seas
Everybody's looking for something
Some of them want to use you
Some of them want to get used by you
Some of them want to abuse you
Some of them want to be abused"
Sasa mtu mwenyewe anajipeleka awe abused, who am I to disagree?
View: https://youtu.be/qeMFqkcPYcg?si=zi--IlpI0xDOUnua