The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024 katika Viwanja vya Lakilaki - Kisongo jijini Arusha.
Mhe. Makonda na mgeni wake Mtume Mwamposa wamekagua viwanja hivyo vya mashindano kwa kutumia pikipiki za miguu minne.
Mhe. Makonda na mgeni wake Mtume Mwamposa wamekagua viwanja hivyo vya mashindano kwa kutumia pikipiki za miguu minne.